ASALAAM ALEIKUM NAWASABAHI NATUMAI MFUNGO VYUNGU VIMEBAKI VICHACHE .
Hii ni kwa wale kila ukifika mfungo wao wana vidonda vya tumbo,mara utumbo umestuka,usitake nicheke mfungo ukiisha mzima wa afya kwa sasa wanajifanya wapole mkekani nao wamo jamani hayaaaaaaaa.mungu si mjomba wa mtu kusema utampigia simu utafunga mwakani nimewakumbuka mambo yote utayapata matamu, mazito,na motomoto baada ya mfungo kwa sasa yaliyomo yamo.ramadhan njemaaaa.
km glob hamziwezi bora mziache maana tunaona ht uvivu kuingia kwenye website zenu.endelea na uke wenza maana hiyo ndo fani yako.
ReplyDeleteHaya haya Masnitch mumeanza?ndo nn kuibeza blogu ya mtoto wa watu?hebu niambieni ina kasoro gani had kusema et aache kudeal na blogu?ukisikia roho za kwann ndo hizi,mwaya jembegumu ucmjal we kaza buti mbele kwa mbele,tupo pamoko,na cku ukirud studioni ucsahau kumpigia Langu rohoni sawa?
ReplyDeleteMdau wako hapa Prince Salim from Ubungo nikiwa na best wangu wa ukwel King Saidaan nakati ya Shimi la udongo Halaaa babby inahuu?hi hi hi...