Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- HII NI KWA WANAWAKE WENZANGU WENYE WATOTO,MTOTO WAKO AKIFIKISHA UMRI WA MIAKA MINNE MPE MAZIWA YA NIDO NIAMINI.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- THE AFTERMATH...
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Men ar wicked oh!!! Mungu atamsaidia huyo dada kumuongoza, mm ninachoweza kumshauri ni aende ustawi wa jamii akadai matunzo ya mtt.
ReplyDeleteustawi wa jamii kwa madai yapi hawana lolote na mahesabu yao ya kuwapendelea wa kina baba ,utadhani wao sio wanawake poia...walitakiwa wawakomeshe wanaume na hii ingepuguza kasi ya wanaume kuacha wake zao kwa ajili ya Vimada..wangewatoza hela nyingi za matunzo....anyway pole sana dada ,wote ni sawa hakuna mjanja kwenye ndoa tu,....kuku hana ndoa sembuse sio binaadamu..tumebadilika sana.
ReplyDeletewanaume wamekuwa washenzi sana jamani ila dawa yao ipo jikoni pole kwa dada huyo anatia huruma sana.
ReplyDeletehawana lolote uwasherati tu umewajaaaaaa. tukifanya sie wanatuita machangu watajuta kutufahamu.
ReplyDelete