ISHA MASHAUZI ATIMIZA MWAKA MMOJA NDANI YA NDOA YAKE WALIOSEMA IMEVUNJIKA MTAJIJU,AFTURISHA NA KUOMBA DUA IDUMU WAPAMBE MPOOOOO.

Wednesday, August 25, 2010 5 Comments

Sura yake inaonyesha aachiki leo wala kesho ndio kwanza penzi moto inaumiza ioyoooo.
Bwana teves husband wa isha.


mahaba matamu hasa ukiwa na wako mtajiju mnao umia unaambiwa penzi limesha andikwa mtasema hadi kiama penzi limesimama wima lol.

Fatma muimbaji wa jahazi na mumewe una wakoooooooo.
Dataz.


Ukishafungulia tabasamu utaliona kushoto ni hanifa,halima na wa mwisho ni mc machachari almaarufu mc jojooooo.
Kushoto ni mpuliza kinanda wa new znz ktkt ni amigo muimbaji wa jahazi na ally j mpuliza kinanda ndani ya five star wanakosajeee.



We mtoto mwezi mtukufuuuu.

5 comments:

  1. haswaaaaaaaaaa!!!! hongera zake bi shosti..!

    ReplyDelete
  2. haswaaaaaaaaaa!!! hongera zake bi shosti.......!!

    ReplyDelete
  3. hahaaa watajiju wanao penda kufuatilia maisha ya watu..hahahaa inahuuu tunawasubiri babu kwa hamu ugiriki DIDA na isha mashauuzi mje kutupa raha kwenye idi..mungu awajalie mfanikiwe safari yenu asante da leila kitogo kwakutuleta raha ndani ya greece..mpooooo????wajirani??

    ReplyDelete
  4. bi dada hebu nijuze kiuzuri rukia kamzaa mwenyewe aisha au ni ma mdogoo natatizikaa jamaniiii hebu nihabarishe mpenzii!..

    ReplyDelete
  5. hahahaha usiusemehe moyo kipo wapi ndoa chaliiiiiiiiiiiii, ndoa ni wewe na mumeo sio kujisifia kwa watu haya kipo wapi?

    ReplyDelete