Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- HII NI KWA WANAWAKE WENZANGU WENYE WATOTO,MTOTO WAKO AKIFIKISHA UMRI WA MIAKA MINNE MPE MAZIWA YA NIDO NIAMINI.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- THE AFTERMATH...
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
mambo bi dada. yaaani nimefungua computer tu nikaona thanks mamy Ashura all the way from Denmark. nikasema waoooooh. usijali bi dada zawadi ni simbol ya upendo, kama ulivyosema hata ikiwa pipi.
ReplyDeletekwangu mimi hata yakiwa mavi umeyafunga vizuri na ukaona yananifaa nitayapokea tu kwa mikono miwili bila kujali yanaharufu kiasi gani! upo hapo mwali kwetu?
haya mwali!!! nasikia umejikondesha kulikoni? au MITIKISIKO kwa sanaaaaa mpaka imekupeperushia kwa bi Kidude.kwa maana bi Kidude diet kwa kwenda mbele. he he heeee.
ReplyDeleteusiambiwe dunia ya leo mwanamke wastani bwana.
karibu Denmark mpenzi. shem wako kaniambia ulivaa ki ninja. mwenzangu Airport ya Cøpenhagen hupiti dada......anyway huu mwezi ni wa kuuuogopa. na mie nauogopa mwezi huu na ni mwezi ambao na feel proud to be Muslim.Ashura DK
nilijuwa kwa sababu nilipokuwa nimelala nikaoteshwa ndoto na Shamim wa 8020 kuwa hizo ndiyo swagaz zako...... na lipofungua blog yake nikaona ni kweli viatu vyako vyote ni mpaka upande ktk ngazi ndiyo uvivae....
ReplyDeletebye mamy miss you
hi,Dida nimependa hivyo viatu je ukwo ulipo vinaweza kupatikana nikuagize.
ReplyDeleteda dida nami nataka dawa ya kupunguza mwili maana mdogo wako nina kilo 125 ni hatari nisaidie mdogo wako inauzwa bei gani? pliz nisaidie
ReplyDelete