MAMBO YA UZINDUZI WA VALENTINE NDIO HAYO JIPATIE UHONDO

Monday, August 02, 2010 2 Comments

Hao ndio walianza kupamba wanajiita VIMODOOOO

Kibao kata kutoka tanga nachooo majigambo teleeeeee.

AHAAAA mambo yakikolea huwa hivi

Wanajiita khanga moja ukivaaa mbili hawakutambui

Si kama namchungulia mtu akuuuuu vijimambo

Sipigi deki eeeee

Unafikiri nafua walaaaa isome namba


MATUKIO ZAIDI YA UZINDUZI WA ALBUM YA 6 YA JAHAZ "MY VALENTINE" PALE PTA NTAWALETEA BAADA YA MUDA KIDOGO

2 comments:

  1. endela kutupa raha dida! sie waswahili na tunapenda kiswahili na tunakidumisha wenye mambo ya uzungu na u-wanna be wairuke hii wafanye kama wameidelete,,habar ndio hio

    ReplyDelete
  2. lakini dida huu mchezo wa khanga moja sio mzuri kwa nini wanawake tunajidhalilisha wenyewe na tunapiga kelele tunataka haki kwahilo aihusu sijapenda hio staili ikikushoma samahani mwanamke jipende mwenyewe kisha utapendwa najua sana aihuuu

    ReplyDelete