HAYA HAYA MFUNGO NDIO HUU,KWA WALE WENYE KUPENDA KUSENGENYA,ULEVI,MAVAZI YASIYO NA HESHIMA WATU WAMECHOKA.... UKISIKIA MKWAJU WA MGONGO USILIE.
Hata ukiwa nje ya nchi ni ruksa kwa kipindi hiki ukanitumia vazi lako la mwezi mtukufu ambalo umelivaa itakuwa mzuka sana, nami sina budi kukuweka bloguni.
swagga sio lazima tu kila siku kitopu na jeans embu nitumie tulione baibuii na dila linakukaaje bibieeee.
Hata mwanaume unaruhusiwa kuweka swagga zako za msuli hata kanzu karibuni atakaependeza kwa mwanamke utapata dila kutoka Dida classic boutique, na mwanaume utapata kanzu ya kusalia IDD
nipe swagga sasa za mfungo, tuma picha yako ukiwa umesimama.
habari ndio tutatuma mamy kwa raha zetu mwanamke kujistiri aswaaaaaaaaaa mwezi kama huu vimini,top,skinjeans tupa kuleeeeeeee.mi ndi nshatuma kazi kwako mamy.
ReplyDeletemambo dida! ni yuleyule wa Denmark enziiiiiii zileeeeee za mwl Banda. soma email nikmekuandikia email. fanya hima mwali kwetu unijibu email yangu.
ReplyDelete