Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- HII NI KWA WANAWAKE WENZANGU WENYE WATOTO,MTOTO WAKO AKIFIKISHA UMRI WA MIAKA MINNE MPE MAZIWA YA NIDO NIAMINI.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- THE AFTERMATH...
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
mashallah umependeza mwanakwetu
ReplyDeleteMashaallah kwa kweli wa jina wangu kapendeza sana,jamani huyu dada kafanana na mkwe wangu sana yaani nilivyo muona nilijua yeye kumbe makengeza ya uzee kwakua huyo mkwe wangu ninaishi nae hukuhuku saudia arabia,lakina kafanana nae mpajina kwasababu mimi na mkwe wangu sote twaitwa Amina.
ReplyDeleteEndelea hivyo hata baada ya mfungo. manake ni wengi kipindi hiki wanavaa vile lkn baada ya mfungo huwa balaa utadhani walikuwa kwenye mafunzo na wamefuzu.
ReplyDeleteHaya ndio mavazi mazuri ya mwanamke kuvaa ona vipi anavyopendeza yani we acha tu.
ReplyDeletehalafu mwezi ukiisha mnarudia vichupi
ReplyDelete