USIMCHAFULIE MTU JINA KWA MASLAHI YAKO, MBUZI ISIO NA MENO NAZI UTAKUNAJE
Hivi unafahamu kuwa duniani kuna waja wapo tu kwa ajili ya kuwakosesha raha wenzao ila tunakomaa nao kimjini mjini,watakuundia mambo uonekane si mtu katika watu na atakuzungumzia kana kwamba amezaliwa na wewe iyo tabia si nzuri kama huna jambo la kuzungumza tuliza mdomo kama umefunga ramadhani si vizuri watu wamekuja duniani kupata raha na si karaha bibi eeeee
ukiona yangu yanakuuma nipotezeee usitake shobo kuzungumza ya watu yako umeyalalia na mbwa ukimjua jina hakupi tabu eeeeeeee.
na watakuwa nyuma kama kisigino sie daima mbele kama fundo la msulieeeee pole yenu mliojaliwa midomo ya upatu mkaikopeeeee si uzushi.
Dada wa mipasho, huku kwenye blog tutakuitaje,
ReplyDeleteMipasholog, au. Ni kweli wapo watu wa namana hiyo na sijui wanapata faida gani, ni sawa na mchawi hivi mchawi anapata faida gani kumloga mtu
nimeipenda
ReplyDeletekipindi chenu nakifagilia ile mbaya
Jifunze kuweka alama basi, kama mkato, nukta, funga semi..........
ReplyDeletedida we waache wakujadili wakimaliza wambie wakupe mkopo. maana wanaojadili watu ni pride ili wawape mkopo. lol ili na kwa ajili yenu wote wapenda kujadili wenzenu
ReplyDelete