JAMANI PESA HAIPATIKANI KIRAHISI KAMA WENGI WETU TUNAVYOFIKIRI, BAADA YA MSHIRIKI KUTOKA GHANA SAMY KUONDOKA MJENGONI HATIMAE YACOB NAE CHALIIII

Sunday, September 05, 2010 2 Comments

Wale wafuatiliaji wa big broda africa watakuwa si wageni kwa kijana huyu kutoka ethiopia kayabwaga manyanga anahitaji kuondoka ndani ya upande wa pili wa mjengo huo ambao hakuna kulemba kila kitu unajifanyia mwenyewe ikiwa hadi kukamua maziwa chezeaaaa fwezaaaaa kirahisi wewe.
Mshikaji kutoka uganda yeye anaona poa tu kuishi kivyovyote ndani ya mjengo huo ambao wanaishi na kuku na ng'ombe kwani nomaaaa.

lerato nae maisha hayo anaona powa tu.


Huyu ndio kabisa utafikiri kakataa mume kwao.


Baadhi ya kazi kijana yacob alizochemsha chezea kumkamua ng'ombe maziwa.
Paloma kunani na mwisho?


Ni swagga tu.




2 comments:

  1. mbona unakaa mda mrefu bila kupost kitu jaman

    ReplyDelete
  2. DIDA KAZI YAKO NZURI SANA. ILA NATAKA NIKUSHAULI KITU HII RANGI ULIYOWEKA KWENYE BLOG YAKO INA KIZA SANA HIVYO PICHA HAZIONEKANI VIZURI. NASHAURI TAFUTA RANGI NYINGINE

    ReplyDelete