Khanga Moja walifunika mbaya katika uzinduzi wa Album ya Hassan Ally

Tuesday, July 20, 2010 5 Comments

Usifikiri wanapiga deki...! Hili ndilo kundi zima la wacheza show wa Taarab tokea pande za Mwananyama almaaruf kama 'Khanga Moja' ambao walitia fora ktk ule uzinduzi wa album ya AIBU YAO AIBU YETU ....... mtaani kwao ukipita umevaa kanga 2 lazima wakutoe balu shosti



Palikuwa hapatoshi


Khanga Moja wanafanya show ktk sherehe na burudani mbalimbali

5 comments:

  1. salaleeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  2. Suaruali yangu yantuna mie

    ReplyDelete
  3. BODO WAKO NYUMA KWA KITU TIGO K KWA MKEO WATOTO WA PANDE ZILE ZA ZUNGU

    ReplyDelete