HONGERENI SANA WASHINDI WA VITENGE VYA DSTV
Baada ya kua maswali yanaulizwa katika blog hii lakini pia katika kipindi cha Mitikisiko Ya Pwani pamoja na Instagram Account yangu (@didashaibu) sasa tumeshapata washindi ambao hawa walijibu vizuri sana swali la kwanza kuulizwa ambalo lilikua rahisi sana kutaja tu zile channel ambazo huonesha Tamthilia mbali mbali ndani ya DSTV. Wengi mmejitahjidi kujibu lakini unakuta mtu ana changanya zile channel kwa hiyo tumeangalia wale waliojibu kwa usahihi kabisa basi tuwape hongera zao....
MSHINDI ; JULIANA UISSO
Ambaye yeye anatokea maeneo ya Mburahati ndani ya jiji la Dar. hongera sana dada
Juliana
Juliana katika pozi
MSHINDI ; PENDO
Ambae yeye anawakilisha Msasani ndani ya Dar pia amejipatia nafasi ya kushinda kitenge kizuri cha DSTV, Hongera sana dada
Pendo
Pendo
Pendo
MSHINDI ; JANETH MARWA
Mi mshindi mwingine pia ambae naye amefanikiwa kunyakua kitenge kizuri na cha thamani toka DSTV
Janeth
Janeth
Janeth
endelea kufuatilia blog hii pamoja na kutazama zaidi DSTV "So Much More" ili kupata mengi zaidi. Kaa tayari kwa swali la pili kesho mapema kabisa pamoja na picha za washindi wengine ambao hawakuweza kupatikana leo.
Tunawatakia usiku mwema....
thank you my dear,
ReplyDeletemama Jeyden, ( Mlimani City)