Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- THE AFTERMATH...
- SIPENDI WANAWAKE MNAOWANANGA WAUME WA WENZENU TUONYESHENI WENU JAPO KWA PICHA.
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Umepungua vizuri mwanakwetuu,Ezden anajifaidia mtoto portable kwa raha zake,
ReplyDeleteushamba tu unakusumbua dida.huna mvuto
ReplyDeleteDida..kama unapendeza kiasi hiki..halafu hutaki na sisi tupendeze..unaniudhii :)))( natania)
ReplyDeleteMara nyingi tunakusifia na tunauliza kama dukani zipo..tuje tukuungishe..hujibuu
outfit ya leo sijaipitisha ni kweli umepungua sn sn tu ila tumbo bd kdg kuvaa suruali na kuchomekea its a big NO. its nt hating ni ushauri tu coz hata mie nipo hapo hapo nahangaika kukata tumbo
ReplyDeleteTehehehehehehhhhhheeeeeee. Kawaida sana dada!!
ReplyDeleteumependeza sana mycousin..haterz utawajua tuu kelele nyingi vitendo hakuna..tuonyesheni na nyie za kwenu tuone...nakuja kesho kwa shop kuchukua huo mkanda mpenzi...haters wote wakasukutue vinywa na maji ya chooniiii...#dida
ReplyDelete