Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- THE AFTERMATH...
- SIPENDI WANAWAKE MNAOWANANGA WAUME WA WENZENU TUONYESHENI WENU JAPO KWA PICHA.
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Dada yangu wewe hayo mapenzi Yao waachie wenyewe maana wema na diamond wanapenda na sasa wewe angalia yako na mumeo
ReplyDeleteHmm ngoja tuone..lakini kwanini asubiri picha zitoke ndo aseme wanafanya movie? Watu walivyosema wako wote china kwanini hakusema wanafanya movie?? Kweli kama karudiana na wema kimapenzi...atakua wa ajabu sana....pamoja na huyo wema na kurekodiwa kote???? picha zote zimekaa kimahaba hakuna scene nyingine? Zote za kimahaba tu?
ReplyDeletemh haya tusubirie iyo movie maana tumechoka na drama ,wasanii wetu hawa siku hizi hakunaga ,bora enzi zenu zile za kaole, tusije sikia tu wamerudiana kwa mapenz moto moto
ReplyDeleteMoviee? Mmmhh! wajinga ndiyo waliwao! Pole Penny ila uliyataka mwenyewe.
ReplyDeleteHe Dida kwenye hiyo movie atakuwepo na huyo babu wa kichina????? he hehe heiiya Dida wee hakuna asiye jua kusoma picha. Hapo na mabegi wameshikana kimahaba hivo hakuna dalili ya kurekodi movie. anyway hata kama walienda kurekodi movie lakini walitumia fursa kulana hao hamna lolote
ReplyDeletePenny unawakati mgumu sana whether ni movie au lah lkn upo kwenye wakati mgumu sana mpnz na mastaa ni pressure tupu
ReplyDeleteMuache na yeye akome alivyoingilia penzi l mwenzake?tena shemeji yake!ni mchafu sana Penny!Mimi siwapendi watu anaoingilia ndoa za watu au mapenzi ya watu hasa mkiwa marafiki!ukiona hivyo yeye alipoona kuwa wamekosana akatumia mwanya huo kuingilia mapenzi kati ya wema na diamond na ktk mapenzi kama mnapendana kweli mtarudiana tu hata mkitukanana sana na kukashfiana!nani kakwambia mpenzi ana talaka?Peny ulie u ulshindwa kutafuta wako ukmamsubiria wa rafiki yako!Tena ushukuru Wema si mshari angekuwa Sinta ungekoma au hata Dida wewe mwenyewe pangechimbika sana!Kama Diamond na Wema mnapendana nyie msiume mioyo yenu nyie pendani tumana kuna msemo "kipenda roho"hula .............kwanza Wema ni mzuri kuliko hako ka Peny kifua kajazia kama mpiga ndondi!
ReplyDeleteWamendezaje jamani Wema na Diamond?tuseme ukweli jamani palipo la penzi la dhati hapakwepeki hata siku moja!kumbuka ni kweli Penny aliingilia penzi la Wema na iujulikane kuwa Wema alikuwa ni rafiki wa Penny matokeo yake nadhani Penny alijitongozesha kwa Diamond pale alipoona kuwa Wema wamekosana na Diamond!
ReplyDeletePenny utakoma kulinga jua wao wanapendana sana!kusoma hujui hata picha!pole sana weee! Penny anajidai ooh sijali maneno ya watu eti diamond ni wangu maneno ya watu siyasikilizi wakati wewe ndo umeingilia mapenzi ya watu!Muone ni kama huyo mchangiaji aliesema kuwa kifua kama bondia matumla!mcheck wema walivyopendeza na Diamond hadi wanavutia sio wewe Penny umekomaa sana kifuani kama dume!
KIFUPI DIDAAAH UNABATA COMMENT NYINGI SANAAAAA. BUT ME NAMWAMBIAA TUUU KAKA ATULIE NA JEMBELE LAKEE TENA SANA. KWANI KILA MTU ANALIVIZIA KIMJINI MJINI. LAKINI WEMA NAMPA BIG UP HUO NDIO MSIMAMO WA MWANAMKE WA KWELII.
ReplyDeletedahhhhh dimoooooo nomaaaaa. kweli mimi kama mwanamme lakini ningempata mwanamke kama wema kwanza ningelinga heeeee mwanamke mvumilivu kama diamond mpaka kauonyesha dimooooo. dimoooooo heeeee huyo ndio mke aliye kwambia babako daaah washkaji wenyewe wa tandale tumekubaliii kweli wema jembeeee mvumilivuuu wa mtukiyooo
ReplyDeleteKinyago cha MPAPUREE penny, kaisha achwa solembaa...zumbukukuuu, sasa subiri uone birthday dinner ya diamond na wema , wewe siuliambiwa yuko cocacolaaaa...ukaandaa maua kitandani kama suprise na wakati mwenzio alitoka kula raha na madame..
ReplyDeleteWema and diamond are forever. .they really love each other, so lovely couple, cute cute cute meeeeennn......! This is it
ReplyDeletedida my shosty leoooo hiii achukuliwe enz........ na shoga yako mpenzi inanoga kweliiiiii mmmmmmmm jamani tuangalie hata matukio tusivamie tu. lazima baadaeeee enz........ arudi kwa D wake ....eeeeeeh binadammm tujue utuuuu tusishangilie tu kwa sababu alijakukumba au alijawai tokea familia yakoooo heeeeee penny mimi nakushauli kama mtanga mwezio na mwislam mwezio na nakupenda my dada lakini muombe wema msamaha wallah muombe wallah. kama usipomuoma penny mdogo wangu . mungu atosha kuliko uganga. mapenzi ayana uganga penny wallah ni mungu tu anamua hawa ndio niwaunganishe dam. kama dida unaona kakukuruka lakini sasa kapata masifa mwezie huyo ni mungu mammyna sote basiiii vita nayooo twaesabia peni mupmbe wema msamaha wallah. heeeeeee.
ReplyDeletekiroho safi. siko kwenye team yeyote. ila mambo ya diamond ni kudhalilishana wanawake big tym. huyo peny kweli kakosea sana kuchukua mwanamume wa shoga yake. mm nakupenda sana Dida yaan ww ndiyo mfano how women should behave. mwanaume hatakiwa kukupelekesha. ukiona ana kuzingua unapiga chini maisha yanaendelea. tatizo huyo penny huyo mwanaume na makshfa yote hayo usishangae akamrudia na kumwambia ni uwongo na akakubali. yaan upuuzi na ujinga kwelikweli. kama kweli huyo diamond ameenda china kutrecord movies kam anavyodai kwann hata ww penny usingeenda n ahuyo mpenzio? huko USA will smith akiwa location na wanawake warembo shurti mkewe naye yupo naye bega kwa bega. abiria chunga mzigo wako ati. ila sasa kama huo mzigo ni diamond kazi unayo. huyo diamond hawaeshimu hata kidogo anawapelekesha kama mikokoteni. na nyie jinsi msivyopenda kujishughulisha kama dida wangu hapa basi mnakubali kuchanganywa kama mayai viza. looh amkeni tafuten pesa zenu wenyewe muheshimike. mm mnanikera kweli. drama dram zisizokwisha hadi aibu. na kwanza mm nakushangaa wewe penny mwanaume hajakuoa umeshahamisha na mabegi eti unaishi naye kama mume na mke. looh aibu
ReplyDeleteMovie hii itakuwa kama ile ya mume wa Irene Uwoya Ndikumana alipocheza na Lucy Komba yaani wawili tu, mmoja adui mwingine kubwa la maadui......heheiyaaaa, yetu macho na masikio...wambea mpoooo!!
ReplyDeletewallah mji huu una raha! hya hiyo ya mume wa irene uwoya na lucy komba ilikuaje? mnijuze mwenzenu mgeni mjini hapa
ReplyDeleteWanayafanya haya ili wasipotee ktk ramani wafanyabiashara ni wajanja sana, tayari wameshakua habari ya mjini. hawatachuja kirahisi
ReplyDeleteDida najua ww Penny ni mdogo wako hajielew anajitia uisilam wakati ni mkristu na alijiingiza kweny ulokole anacheza na mungu huku kila Ijumaa anachinja mbuz ili akikinge na wema na amkamate Diamond kiko wapi?Anadanganywa mjin hamma mganga baelezee watoto dida
ReplyDeletehaaaaaaaaaaa kazi ipo mjini
ReplyDelete