Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- HII NI KWA WANAWAKE WENZANGU WENYE WATOTO,MTOTO WAKO AKIFIKISHA UMRI WA MIAKA MINNE MPE MAZIWA YA NIDO NIAMINI.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- THE AFTERMATH...
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
mmmmh shogaa hata ujapendeza kwa kweli ndio nini ulichovaa mbona kituko ulichemsha jamani. Ila mimi penda wewe sana jana nilikua nasikiliza michambo yako nikanote mnachambana na mwafundenge hakuwezi akuache miaka mia nane. Wenyewe wa juzi wewe kubwa lao babu.
ReplyDeleteJAMANI MLIPENDEZA SANA WAPENDWA ILA SHOGA UNAKUWA NA HARAKA YA KUPOST PIC AU NINI MBONA HUELEZEAGI HTA KIDOGO CHINI YA PICHA KUNOGESHEA.LOL..MPAKA NIMETAMAN KWELI BONGO INSHAALAH MWAKANI.....
ReplyDeleteNimependa Yvone alivotoka na hizo peplum kitenge!! Uwiiiiiiiiiiii cjamuona kitambo!!! Mzurijeeeeee
ReplyDeleteDida jitaidi kuwa unamshauri Sauda Mwilima coz huwa ajui kupanga vazi la kuvaa na mahali linapotakiwa kuvaliwa, Inshort Sauda Mwilima hakupendeza katika watu wote walioshiriki hapo.
ReplyDeleteHadija Kopa una baby face wewe yani umeonekana bado kabisaaaaaaaaaaa ama kweli kujikoroga kunazeesha lol
ReplyDelete