MWANAMKE SWAGGGGA BIBI WEEEEEEE,MWANAMKE KUJIAMINI HASA TUNAELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI,JIFARAGUE HATA WAKUCHEKE,WAKUBEZE SONGA MBELE WAO WENYEWE WANAOWASEMA WENZAO HAWANA MBELE WALA NYUMA HAWAFAI KWA KUUZWA WALA KWA KUWEKWA BONDI BABU KUJISHAUA TU MJINI PA KULAL;A KWA MASHOGA WAMEJAALIWA VIGIMBI TU KAMA WASHANGILIAJI WA MTIBWA SUGAR MTAJIBE.
Mtoto wa kitanga nisiyejali shari za waja nimezaliwa kwa makusudi na wala si kwa bahati mbaya.
Sina makole ya shari kama wenzangu nyie nimezaliwa na Mama sijatokea Shinaniiiiiii.
Najiamini na sidhuriki na lawama lawama kwangu cheo, Lawama hapewi chui wala mbwa lawama anapewa mwanadamu mwenye nyama kama zangu hamnishushi nilipo mchinje hata paka au mje na waganga roli zima mungu ndiye aliyeeniweka nilipo mtajuuuuuuuuta.
kwani aliyezaliwa kwenye kifuu nani. kweliduniani kuna wendawazimu wasiojijua. vigimbi kama fagio la choo.
ReplyDeleteKabisaaaaaaaaaa dida mungu peke yake.
ReplyDelete