 |
Waombolezaji wakifuatilia kwa makini utaratibu wa mazishi. |
 |
Wakina mama wakiomboleza kwa uzuni mkubwa. |
 |
Mwili wa marehemu ukipelekwa makaburini. |
 |
Hili ndilo kaburi alilolazwa marehemu Mariam Khamis, " MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI .. AMINA " |
 |
Mume wa marehemu akimwombea dua la mwisho mkewe kaburini. |
 |
Mtoto wa marehemu. |
 |
Mume wa marehemu Mariam Khamis akilia kwa uchungu. |
 |
Dida na Isha Mashauzi. |
 |
Isha Mashauzi na Suzan mtangazaji wa redio clouds fm. |
 |
Mtangazaji wa kipindi cha mitikisiko ya pwani Khadija Shaibu ( Dida ) akitoa mkono wa rambirambi fedha taslim shilingi laki tano ( 500,000/= ) kwa shangazi wa marehemu, akiwakilisha wafanyakazi wenzake na uongozi wa Times Redio 100.5 fm. |
0 comments: