JANA KIBAO KATA CHA TANTI BOY , KILIFANAJE....!

Saturday, November 26, 2011 0 Comments


Mrs G,Mrs Diamond mtarajiwa,Mrs best mtarajiwa

Hiki kiti kitamu sanaaaa jamani kukikalia .
Niliwahi kufika ili niwahi kuondoka ila si unajua shughuli ikishakuwa pambe inachelewa kidogo so sikuwahi hata kuchukua picha ya mwali.

Baadhi ya wageni.
Sare kama hivyo zilitawala.

Shurti kwa vimiminika.
B56 silaha ya maangamizi Bi Afua suleiman wa pili kutoka kulia kwa raha zake bibi.
Mashostito.

Mtarajiwa Sauda mwilima ,Mrs G.

Mamaa penny.
Mdada,Lulu.
Penny,Bilaila,Mrs G,Wema,Sauda.

0 comments: