HONGERA KAKA YANGU OTHMAN SHAIBU KWA KUCHUKUA JIKO.

Tuesday, June 07, 2011 4 Comments

Raha ya mume ,mke babu mwenyezi mungu awajaalie ndoaa yenu idumu ishallah.
Cousin Rose Ndauka.

Nilishe nikulishe ndio ishara ya upendo.

4 comments:

  1. mwenyewe hukuwepo bi mapicha mbona hujajiweka?

    ReplyDelete
  2. vip rose kifua biashara?

    ReplyDelete
  3. Hizo nguo zenu kuna siku mtabakwa, sasa huyo Rose ndo nini kutuachia maziwa wazi hivyo? Jiheshimuni wanawake khaa..

    ReplyDelete
  4. eeh ebu mwacheni rose ajiachie na nguo yake mi nimependa na kapendeza sana hata mi navaaga ivo ivo n i feel soooo goood

    ReplyDelete