BAADA YA KUINGIA MIILI YA MAREHEMU SIMANZI,VILIO VILITAWALA KWA WASANII PAMOJA NA WADAU MBALI MBALI INAUMA SANA JAMANI UMATI MKUBWA ULIOKUWA NJE VILIO

Wednesday, March 23, 2011 6 Comments

Nikizungumza na ALLY J kiongozi wa Bendi aliyenusurika imebaki kuwa story jamani.
WAZIRI WA MICHEZO NA BURUDANI MH; EMMANUEL NCHIMBI NAE.
Suzan akilia kwa uchungu.
Baadhi ya Maiti zikipandishwa kwenye magari tayari kwenda kuzikwa usiku huo huo.
Wengine wamezikwa hawana vichwa masikini.
Baada ya watu kumuona ALLY J walilia sana kutokana na ujasiri aliokuwa nao mpk kufika leo.
ISHA MASHAUZI Alishindwa kuvumilia na kushikwa na wafanyakazi wenzie.
Sakina Lyoka.
Hawa hassan mtangazaji wa Capital radio akilia kwa uchungu.
Hakuna wa kumbembeleza mwenzie.
Baadhi ya watu walizimia.
Simanzi ilitawala.
Baadhi ya ndugu wa marehemu.

Inauma sana jamani.

6 comments:

  1. masikini inasikitisha sana jamani poleni sana wafiwa m mungu atawapa roho ya imani. m mu ngu azilaze roho za marehemu wote pahala pema ishaallah

    poleni sana jamani ndugu jamaa marafiki na wadau wa taarabu !!!! kila mtu ataonja mauti

    kimami

    ReplyDelete
  2. mungu awape wepesi jamani.qul nafsi zakatil maut. poleni sana. na kifo kimeumbwa ili tujue mungu yupo hivyo ni kujitayarisha kwani dunia ni njia.

    ReplyDelete
  3. roho zinanatuuma sn jamani ila hatuna jinsi kwan tumepata pigo kubwa ktk tasnia hii ya taarabu.ss tuliwapenda ila mungu kawapenda zaidi tuzidishe dua na maombi kwa marehemu na majeruhi.

    ReplyDelete
  4. inaumiza sn ,nawapa pole wazazi wa marehemu ,mana ukibahatka kuzaa unategemea mwanao akuzike na sio kumzika yy simanz na majonz vnatawala ktka maisha yk.hasa mama wa issa kijoti inaumiza kwer jamani.mi hanifa chuchu fm znz

    ReplyDelete
  5. dida samahani sana kwa usumbufu,naomba utuwekee picha za marehemu hao 13 enzi za uhai wao maana tumeshindwa kuwatofautisha,hasa husna, mariam na sheba,mungu awalaze mahali pema.

    ReplyDelete
  6. ..dida ubarikiwe sana kwan u mstar wa mbele kuweza kuwafariji wafiwa pia kuweza kuwachangia kama rambirambi kupitia kipindi chenu cha mitikisiko ya pwanipia radio times.

    ..kwan sote tumeubwa kwa udongo na kila nafsi itaonja umauti kinachogomba ni kutangulia

    ..inauma kuwapoteza vijana wenzet ambao walikua nguvumali ya taifa hili katika kutafuta kipato chao kupitia muzik wa taarab tuliwapenda ila MUNGU amewapenda zaid inaumiza sana kila tukifikiria kama vile hatutaki kuamin lakin ndo vile no way.

    exclusive gal(borah kim)

    ReplyDelete