NENO LA LEO.

Saturday, October 02, 2010 6 Comments

Kwa wale wote mnaojifanya wazungu nasikitika sana siwezi ku behave kama mzungu wakati mie mswahili yote mtasema lakini bakora zipo pale pale.sipo duniani kwa ajili ya watu nimesemwa tangu nipo tumboni mwa mama jamani hata hamjanikera bado sipo kwa ajili ya kusutana bali nagonga ikulu kwa wale wafuatililiaji wa maisha ya watu kipo kitu si bure kinawasugua nafsi mahaters ila tu nilizungumza tangu awali hii blogu si ya mzungu ya mswahili na haya ni maisha ya kawaida kwa mtanzania mpooo. wengine mmesoma shule za msingi mtakuja,mgeni nani na nk,ila tu mkiambiwa ukweli mnakerekwa sana kama wewe mzungu dili na maisha yako nafikiri ningekuwa naimba mapambio msingeniongelea ilo la kwanza na la mwisho mimi ni mimi nitabaki kuwa mimi najua hata wewe unaye semwa huko mitaaani unafarijika sana wewe sema,tukana,maliza yote ya dunia ukimaliza sukumia glasi ya maji.usiseme ya watu yako umeyalalia na kama msemaji zungumza ya kwako kwanza ndio umzungumzie mwenzio,najua utanikubali ukichoshwa.

6 comments:

  1. yaani unanikuna kuwa muwazi saana dida ukiwa muwazi huweki fundo unasonga mbele ila ukiweka mambo rohoni kila siku unakuwa na chuki na mtu mi nakupenda upo muwazi wapasheee hao wamezidi kwanza waseme yao alafu ndo yako tutawaona wa maana sio kuchambua watu na yakwao mauchafu matupuu wameyafunika waanze kujitolea mifano wao.

    dida mimi sio jasiri kama wewe wakumpa live mtu hata sijui y ila nafikiri now utanipa ujasiri wa kumwambia ukweli mtu ajue kama yeye ni mna

    nachukia saana mtu anaejifanya kukupenda kumbe mnafki. akiwa na wambeya wenzake wanakuchambuuua siku m mungu kawaumbua wameparangana kwa uhasidi wao anakuja na kujifanya wewe ndo rafiki yako na kukuambia unafki walio kuwa wanauongea wakati wote walikuwa pamoja na wote wanafki jamani acheni kusema sema watu hamna kazi za kufanya??? wanafki

    tuwakilishe jamani

    ReplyDelete
  2. dada mimi nadhani ni mdogo sana kukwushauri ila na imani utafata ushauri wangu, naomba usiwape chance ya kuwaonyesha umeumia,nyamaza watanyamaza pia, pia usitake kujua kama wamesema

    ReplyDelete
  3. wapewape hadi wakukubali kiaina mamy we mkali miaka mianane.WERAAAAAAAAA RILU LILAAAAAAAAA.mbona hawajakukera bado tupe swaga mamii.



    Amina Zangira

    ReplyDelete
  4. wape haoooooooo, mi nashangaaaaa yes no nyiiingiiiiiii ina huuuuuuuu, mwambie si lazima yeyeye kuna waswazi wenzio tunao kufagilia kwa saaaaaaa watoe shombo zaooooo mwaaaaaaaaaaah mi hapoo tuu mpenzii jamaniii aaaaaaaah nakupenda weeee

    oddo iddy

    ReplyDelete
  5. october 4 mdau 2:30

    ni kweli ndugu yangu ila watu wengine wanakera nimefanya kama unasema kwa muda mrefu saana ila kila siku nasikia maneno yasio kuwa na maana yoyote. alafu huwezi hata kuamini hayo yalio semwa ukimtazama mtu jinsi alivyomuungwana na maneno alio yasema m mungu atawaonesha sina ubaya na mtu .sipendi mtu anajifanya kukucheeka kumbe ana kuenjoy

    asante pia kwa ushauri busara haina mkubwa wala mdogo. ila mi nitajitahid ikizidi ni ukweli tu ili mtu aaache unafiki natamani hata nikuje mdogo wangu

    tuwalikilishe jamani

    ReplyDelete
  6. ndugu yangu wape vidonge vyaowakimeza wakitema watajiju kuwapasha watu wala si zambi heheeeeee wape dida sisi wanashekilango uwa atuogopi mtu

    ReplyDelete