KUOLEWA JAMANI ILA MSEMO WA SASA MLIOPO NDANI YA NDOA MSITOKE ,TULIO NJE TUONGEZE TAMU NASI TUOLEWE.

Thursday, September 30, 2010 13 Comments

Kiti kitamu hasa pale unapokikalia bibi nakutakia kila lakheri katika ndoa yako hilda kaza buti,kama ndoa shubiri mbona wao hawatoki wameganda kama supa glue.

Mmependezajeeeee.
Mwanamke kutunzwa.

Nilipewa wakati mgumu wa kucheza wimbo unaotamba ALAJ.kazi kweli kweliiiiiii.

MHHHHHH nitajuta baada ya muda,kimya kimya basi.

13 comments:

  1. Dida ndugu yangu kazi nzuri,usiwajali watu wanaokukwaza ukapoteza utu na thamani yako wewe ni Mama mwema huo ndio ushauri wangu ukipenda fanyia kazi usipopenda sawa pia.

    ReplyDelete
  2. pendezaaaaaaaaaaa,nami namwambia bi harusi ndoa ndoano lakini ndoano hiyo akiitumia vizuri mfano akienda nayo baharini ataitega na atapata samaki,vivyo hivyo ndoano ina ubaya wake pale inapokukwama all in all ndoa ni uvumilivu,heshima na kaulinjema na upendo wa dhati.karibu mamy kwenye
    chama letu.



    Amina Zangira

    ReplyDelete
  3. kwanza nakupa pongezi sana dada dida! wapake sana watu wambea wasiopenda maendeleo ya wenzio! dada umependeza sana na kivazi chako hicho! u look so sexy!! endelea kutupa picha za mashughuhuli kama hivyo mama! me nka arusha nakufagilia sana na blog yako hii ya kukomesha vidomodomo! kila la kheri dada

    ReplyDelete
  4. bi dada umetoka bomba sana nakukubali DIDA wa ukweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  5. UNAJITAHIDI SANA KUVAA VIATU VIREFU ILI UONEKANE MREFU, BT STIL SHORT CHASSIS, A.K.A SHOTII. PUNGUZA MKOROGO KIDOGO SHUTI UMEMPITA HADI MYMATHA, ILA VIGOTI VYEUSIIIIIIIIII, WANGEKUWA WENZIO UNGEWASEMA.

    ReplyDelete
  6. HONGERA KWA KUPENDEZA MAMAAAAAAAAAAA
    BIG UP SANA. BY S.J

    ReplyDelete
  7. unachotafuta utakipata

    ReplyDelete
  8. dida umependeza sana hapo, huyo anataka upunguze mkorogo kwani anakununulia yeye, tena ukome, mwache ajichubue anavyotaka, na ukiona hivyo ww umedunda, ndio mana halafu ucpende kuchanganya mada, unamuongelea dida unamchanganya na maimatha inahuuuuuuuuu!!!!!!!!! hapo uckute mwenyewe sura ngumu kama futari ya gimbi, ww kavae hivyo basi utoke mbele za watu kama hatujatapika na vipaja vyako venye sugu!!! nyooooooooooooo!!!!!

    ReplyDelete
  9. Dida tatizo lako ushamba umekuzidi, hivi wewe unajiona ni nani hasa katika Tz hii hasa pande za Dsm. Tatizo la maskini hakipanda matako hulia mbwata ndio wewe hapo bado si lolote si chochote je ukiwa chochote watu hata maji hawatakunywa. TATIZO NA SHULE INACHANGIA POLE MDADA

    ReplyDelete
  10. Dida apendenja, kama shio weye, nakupa big up!!

    ila mdogo wangu naomba upunguze mkorogo una madhara baadaye kwenye mwili wako, sio kama nakuonea wivu bali ni huruma nakuonea.

    kingine napenda kukushauri kiru kimoja, wewe ni mrembo na mwenye heshima katika jamii, uhakika ninao kwa hilo. hivyo basi napenda uwe mtu wa kujiamini kwa kila lako jambo ufanyalo, mbona sie binadamu hatujakamilika, na hakuna anayependa mwenzake akifanikiwa kwa lile alitendalo, kila akunaye umefanikiwa ataanza kutia shenzi wake na maneno ya choko choko ili tu uonekane mbaya kwa kila mja!!!

    kula good time zako, fanya lile likupendezalo, ilihali usivunje sheria. waheshimu wadogo kwa wakubwa, lea familia yako usijali wambea, umeolewa hujaolewa, umeacheka hujaachika, isijalishe ni mara ngapi!! we wapotezee tu! wenyewe yamewashinda hawajielewi wako dunia ya ngapi, waje wakupe shida wewe mtoto wa mwanamke mwenzao!!!

    mwanamke kujiamini dada eeeee!!!

    utaonga saana, mwisho utakujapata fangasi za mdomoni bure!!!!

    kwanza nakupa hongera kwa unavyojituma!!

    chiazzzzzzzzzzzzz!

    ReplyDelete
  11. I wonder kama kweli hivyo viatu ulivivaa mpaka shughuli ikaisha, ninawasiwasi kuna wakati ulivua ukabaki peku! anyway Umependeza
    Sakina, wa Arusha

    ReplyDelete
  12. Nakwambia Anony wa September 30,2010 6:40 AM umesema kweli haswaa kajitu kafupi kana mdomo kweli hapo kachemka kila kitu na ingekuwa wenzie angechonga sana mdomo kujichubua utafikiri dada wa magoti waiting to sell yourself sio deal mama kujikoboa hivyo..siku ya siku utaja jutaaaaaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  13. kwani wewe hujaolewa? mbona mda mrefu niliona kitchen party na send off yako katika blog fulani au walikosea kuona?

    ReplyDelete