USISHANGAE MANENO YA WAJA HATA KWENYE KANGA YAMO IPIGIE CHAFYA IYO

Wednesday, July 28, 2010 4 Comments

Binadamu wagumu kama ngozi ya futi kwa maneno ila jua maneno ni kama mkanda utazunguka nao mchana usiku utauvua kugeuzana mishumaa unawaka huku unateketea waja mlowakusudia wenzenu ubaya utawarudi kama nyoyo zingekuwa na mifuniko mngefunuliwa mngewaona sivyo jinsi muwafikiriavyo ila kwa kuwa mungu si mjomba wa mtu watachora chini wafute wenyewe.

4 comments:

  1. tehtehtehteh,Dah,Dina una maneno,mpka raha,asante kwa neno la leo..

    ReplyDelete
  2. yani hii ndio raha ya ya dida, tumaneno twako ahh huwa tunanipa usingizi mwenzio. just like u gal huna unafiki unaongea live sio wengine wanajifanya watakatifu mbele za watu na kwenye blogu wakati loo ndio wabaya haswa

    ReplyDelete
  3. ujumbe wa leo dida ahaha mbona aibu yao wenyewe

    ReplyDelete
  4. maneno kuntu babu nakupenda sana dida shosti una mbwembwe.

    ReplyDelete