HILOO NALO NENOOOOOO
Ni kweli lkn hayakuhusu fanya uwezalo usifanye waja watakavyo utakula mkate mkavu kisa unamuogopa binadamu utashindwa kununua siagi ina huuuuuuuuu.Mwanadamu kama shampeign ikifunguliwa haina market wasikugeuze kipa kudaka magoli usiyoyajua kwani wao si barabara ushindwe kupita wao si viza ushindwe kwenda ulaya. transit yao msamvu morogoro upoooooo.
Transit yao msamvu morogoro kwii kwiii
ReplyDeletemsichana sikuwezi una maneno watajuta mwaka huu kweli blog ya mitikisuko unatishaaaaaa mama
ReplyDeleteha ha ha ha kwi kwi kwi nafwa mieeeeeeee dida we balaaaaa
ReplyDeleteNATAMANI NIKUONE WEWE MSICHANA UNANIFANYA NAACHA KUFANYA KAZIIII
ReplyDeletemsichana sikuwezi una maneno watajuta mwaka huu kweli blog ya mitikisuko unatishaaaaaa mama
ReplyDeletetehtehtehteh,asante mama,maana nacopy n paste,neno la cku,maana watu wamezidi,asante dida,tupe raha,weraweraaaaaawera.
ReplyDeleteHuu kweli mtikisiko!!
ReplyDeletedisminder.
Maneno yako kuntu dada,... yaani nacheka mpaka wenzangu wanashangaa ofisini.
ReplyDeleteWape wape hao.
Mama Watoto
duh mtt wa kike unachana si mchezo, kwl kipele kimepata mkunaji, mbona blog zimeingiliwa, tupe raha bibi weeeeeeeeee! rahaaaaa utamuuuuuuu, big up Dida...!!
ReplyDeleteMwanadamu kama shampeign ikifunguliwa haina market
ReplyDeletehilo nalo nenooooooo
mmmmh! dida
ReplyDeletekweli ilo nalo neno
wajaze wajae miaka mianane
fanya uwezalo usifanye waja watakavyo, hilo nalo nenooooo hasa likipata msemaji!!!
ReplyDelete