Libeneke la Ankal ndani ya Jumba la Big brother all star...!

Tuesday, July 20, 2010 1 Comments




ankal Michuzi katikati akiwa na waandishi wa kutoka nchi mbalimbali za afrika waliokuwa sauzi kushuhudia uzinduzi wa Big Brother Africa All Stars ambapo walipata nafasi ya kulala kwa usiku mmoja na kupata vionjo vya nini kinajiri wakati washiriki 14 toka nchi 14 watavyoishi humo kwa siku 91 kabla mmoja wao kuibuka mshindi na kunyakua kitita cha dola 200,000. Ukiingia humo mjengoni huruhusiwi kuwasiliana na dunia ya nje kwa namna yoyote ile. Hakuna cha simu, cha TV wala cha redio humo.
Zaidi bofya



1 comment:

  1. ......ni maendeleo, umejitahidi kiasi ila nadhani ungebadilisha "tone" ya ujumbe unaotoa,mie naona imekaa ki-taarabu taarabu hv... nisamehe km ntakuwa nimekosea, lkn nadhani hii blog yako haujaiandaa kwa ajili ya wakazi wa magomeni tuu au mwananyamala tuu, ungependa ipendwe na watu wa kada mbalimbali,dunia nzima pengine, basi jaribu kuifanya isionekane km ya ki-mipasho mipasho. thanx very much.

    ReplyDelete