Alicia Keys amtimua Manager wake...

Monday, July 19, 2010 0 Comments


Alicia Keys amemfungashia virago Manager wake Jeff Robinson baada ya kuona maendeleo mabaya ya album yake ya hivi karibuni The Element of Freedom kuwa mabaya na kuuza copies milioni 1.4 tu, ikiwa hazijafikia hata nusu ya mauzo ya album yake iliyopita na ataangalia kazi yake yeye mwenyewe na kampuni yake AK Worldwide.

0 comments: