Dida umepungua mwili umependeza sana, jitahidi usinenepe tena. Napenda ulivyo mwanamke mtafutaji siyo kukaa tu na kusubiri kupewa na mme au boyfriend. Hongera sana kwa maisha uliyochagua.
Dida nimesikitika sana mlivyoachana na Ezden mlikuwa mnapendeza mkiwa pamoja. Inawezekana bado mnapendana ni hasira tu ziliwatenganisha. Sameheaneni mzungumze na kurudiana. Mungu hapendi mke na mume kuachana. Talaka ni kalatasi tu inaweza kuchanwa na maisha yakaanza upya! Think about it.
Hata mie imeniuma somo yake wa DK. Ila ukiona umeolewa ndoa ndoa haswa, mwanaume ukamweka kwako. siku inatokea kelele na talaka akatoka ktk MEDIA na sauti akaitoa kutoa siri SI MUME MDOGO WANGU , SIKU ZOTE HATA MIE MWANAMKE MWENZIO NAJUA ,MWANAUME UKIMKUTA NA KOSA SAUTI HUJA JUU NA HUWA HUMALIZI UGOMVI" YOTE SABABU UNAMPENDA NA KULINDA ZAO LAKO" DIDA NAKUSHAUR KULA MAISHA ,TAFUTA HELA ISH VIZURI MWOMBE MUNGU UPATE MUME MWENYE MALI YA KUKUZID AKUWEKE NDANI KAA MALIKIA, AKUFUNGLIE BIASHARA UWE BOSI NDO ILOBAKI. HAWA WANAUME WA MJINI WAKUTAKA UWAWEKE SAWA UWATOE KISHA WAKUADHIRI MWALI WANGU ACHANA NAO. HAPO ULIÃ…PO UMEPENDEZA NA UNANG`ARA KAA NYOTA USISUBUTU KUMMPA NAFASI MWANAUME AKUZEESHE BIBIII, WACHA AKUSOME KIMOYOMOYO HAPA BLOG YAKO LOVE YOU MOLA AWE NAWE DAIMA
Duuuuh!!! Nakupenda bure
ReplyDeleteDida umepungua mwili umependeza sana, jitahidi usinenepe tena. Napenda ulivyo mwanamke mtafutaji siyo kukaa tu na kusubiri kupewa na mme au boyfriend. Hongera sana kwa maisha uliyochagua.
ReplyDeleteDida nimesikitika sana mlivyoachana na Ezden mlikuwa mnapendeza mkiwa pamoja. Inawezekana bado mnapendana ni hasira tu ziliwatenganisha. Sameheaneni mzungumze na kurudiana. Mungu hapendi mke na mume kuachana. Talaka ni kalatasi tu inaweza kuchanwa na maisha yakaanza upya! Think about it.
ReplyDeleteMungu akuzidishie wambea tupa kuleeee tenaaaaa
ReplyDeleteHata mie imeniuma somo yake wa DK. Ila ukiona umeolewa ndoa ndoa haswa, mwanaume ukamweka kwako. siku inatokea kelele na talaka akatoka ktk MEDIA na sauti akaitoa kutoa siri SI MUME MDOGO WANGU , SIKU ZOTE HATA MIE MWANAMKE MWENZIO NAJUA ,MWANAUME UKIMKUTA NA KOSA SAUTI HUJA JUU NA HUWA HUMALIZI UGOMVI" YOTE SABABU UNAMPENDA NA KULINDA ZAO LAKO"
ReplyDeleteDIDA NAKUSHAUR KULA MAISHA ,TAFUTA HELA ISH VIZURI MWOMBE MUNGU UPATE MUME MWENYE MALI YA KUKUZID AKUWEKE NDANI KAA MALIKIA, AKUFUNGLIE BIASHARA UWE BOSI NDO ILOBAKI.
HAWA WANAUME WA MJINI WAKUTAKA UWAWEKE SAWA UWATOE KISHA WAKUADHIRI MWALI WANGU ACHANA NAO.
HAPO ULIÃ…PO UMEPENDEZA NA UNANG`ARA KAA NYOTA USISUBUTU KUMMPA NAFASI MWANAUME AKUZEESHE BIBIII,
WACHA AKUSOME KIMOYOMOYO HAPA BLOG YAKO
LOVE YOU MOLA AWE NAWE DAIMA
Mdau umenena..sameheaneni msonge mbele, mnapendeza kuwa pamoja
ReplyDelete