Sasa uyu mbakaji maharufu awakumuachia hata kitanda duh pole kaka uwepo wa shetani upo pamoja na wewe kemea ktk jina la yesu utashinda ayo ndo majaribu yako hauna budi ukabiliane nayo
Ila na wewe frola kuwa na huruma basi mwenyewe umechepuka kwa babs mchunga kanisa sasa inauma nini msameheane to yalopita yamepita mgange yajayo ila mwezio kazidi kuchepuka mchepuko mkubwa mana si wa kitoto ndugu yako wa damu aaa apo bhana nguvu ya mungu ifanyike mana mhmh inauma sana pia ni haibu isio futika kwa family poleni sana walengwa
NAYE ALIJICHETUA HUYU . AKATANGAZA MAGAZETINI MPAKA ULAYA TUMEYAONA .LEO ANAANDIKA AMEMSAMEHE SASA SIWAYAMALIZA NYUMBANI. WANAWAKE TUWE TUNATAAKARI TUKIWA NA MATATIZO SIO KIKIMBILIA KUHADHITHIAHUKU MIHOGO TUNAITAKA SIJUI HAKUWA NA SOMO AU KUNGWI WA BANDIA HUYU DADA,.
Sasa uyu mbakaji maharufu awakumuachia hata kitanda duh pole kaka uwepo wa shetani upo pamoja na wewe kemea ktk jina la yesu utashinda ayo ndo majaribu yako hauna budi ukabiliane nayo
ReplyDeleteIla na wewe frola kuwa na huruma basi mwenyewe umechepuka kwa babs mchunga kanisa sasa inauma nini msameheane to yalopita yamepita mgange yajayo ila mwezio kazidi kuchepuka mchepuko mkubwa mana si wa kitoto ndugu yako wa damu aaa apo bhana nguvu ya mungu ifanyike mana mhmh inauma sana pia ni haibu isio futika kwa family poleni sana walengwa
ReplyDeleteHubby akiwa kifuani, ukigeuza kisogo adui.
ReplyDeleteAisee
Ana wazimu kaamua kuhamia rasmi kwa Gwajima wake, tamaa imemzidi huyo dada ndio maana mimi malokole haya siyapendagi kabisa uongo tu
ReplyDeleteNAYE ALIJICHETUA HUYU . AKATANGAZA MAGAZETINI MPAKA ULAYA TUMEYAONA .LEO ANAANDIKA AMEMSAMEHE SASA SIWAYAMALIZA NYUMBANI.
ReplyDeleteWANAWAKE TUWE TUNATAAKARI TUKIWA NA MATATIZO SIO KIKIMBILIA KUHADHITHIAHUKU MIHOGO TUNAITAKA
SIJUI HAKUWA NA SOMO AU KUNGWI WA BANDIA HUYU DADA,.
Ya flora mbasha yamekurudia na wewe naona
ReplyDelete