DIAMOND MPK HAPO ULIPOFIKIA WEWE NI MSHINDI NA UMEITANGAZA NCHI YETU SANA NA HATA HAO ULIOKUWA UNASHINDANA NAO NA WENYEWE WALIKUWA WANAKUHOFIA KWA KAZI ZAKO NA KUJITUMA MUNGU AKUBARIKI SANA NA UWEZE KUFIKA MBALI ZAIDI WATANZANIA TUPO NA WEWE.....
hana sifa wala nini, roho zenu za kunguni zinawasumbua, na hasira za kuachwa penny bado mnazo. na wewe dida ya wenzio unayatoa wewe ukichambwa unayaficha kwapani.
Jitahidi baba maana Bado kidogo tu utafika ila punguza sifa
ReplyDeleteana sifa gani na wewe. wivu tu ndo unakusumbua wewe ndo wale wale. Utasubiri sana ndugu.
ReplyDeletehana sifa wala nini, roho zenu za kunguni zinawasumbua, na hasira za kuachwa penny bado mnazo. na wewe dida ya wenzio unayatoa wewe ukichambwa unayaficha kwapani.
ReplyDelete