kama unaona anakuchamba kaa pembeni ashuo tu nyie ndio wale ma haters anawatamani kila siku sasa utauona utamu wake dida blog yako nzuri tunapenda maneno yako
Dida achana na mshamba huyo, ndo maana na kalificha jina lake. Nyoooooooo ushindwe na ulegee kumchimba dida wa watu. Dida mpe leo vipande vyake na mcharazo na bi mkubwa Hindu! Pella
watu kwakujipendekeza!!!!!!!haya bibi we maneno yako yatakufanya upate wateja wengi maana watu wa dar walivyo wambea haijarishi niwanawake ama wanaume wote ni balaa hao wanaume kama 'dada' bilal, teh teh teh teh........
mmmh!!!!!!!!! mwanamke mbea wewe sijawahi ona!!!!!! ndio mana unaachik sana nakila anae kuonja, kha!!!!!!!!!!
ReplyDeletewewe anon huna lolote si sifa yake hiyo una lako maneno yake yanakuchoma tizama hana hiyana dida kakuwekea comment yako utajuta kuingia zeddy
ReplyDeletekama unaona anakuchamba kaa pembeni ashuo tu nyie ndio wale ma haters anawatamani kila siku sasa utauona utamu wake dida blog yako nzuri tunapenda maneno yako
ReplyDeleteDida achana na mshamba huyo, ndo maana na kalificha jina lake. Nyoooooooo ushindwe na ulegee kumchimba dida wa watu. Dida mpe leo vipande vyake na mcharazo na bi mkubwa Hindu! Pella
ReplyDeletekaachwa mama winnie mandela huna jipya we anon kama huna comments za kuandika katandike kitanda
ReplyDeletewatu kwakujipendekeza!!!!!!!haya bibi we maneno yako yatakufanya upate wateja wengi maana watu wa dar walivyo wambea haijarishi niwanawake ama wanaume wote ni balaa hao wanaume kama 'dada' bilal, teh teh teh teh........
ReplyDeleteMwanamke dira haswa ukijua kulivaa na nyie mlijua... shost ulipendeza sana, achana na hao mahaters wasio na dili kazi kusema ya wenzao.
ReplyDeleteNyie wote washamba na hamkwenda shule huyo dada nampa sapoti kwa kuongea ukweli
ReplyDeleteHello sister dida Nakupenda sana natamani uwe dada yangu mimi ni mama jackson mrs okello originali...
ReplyDelete