Thursday, July 22, 2010 8 Comments
Ebwanaa mzuka sana nawafagilia sana kuanzia utangazaji nyimbo hadi kipindi mpo juu big up dida kwa kuwa unatupa mambo ya taarab
safi mmependeza sana dida tupe namba yako shoga ya kipindi tumefurahi kwa kutufungulia blog
mko juuuuuuu sana twayasubiri hayo
mpango ndio huo wadau sebenukaaa!
Dida yaani ukiwa radioni sitaki hata siku moja nikose! Kama sasa hivi umenitilia "khaaaa hafedheheki mtu mjini hapa, wapiiiiiiii!" yaani unaniua na vijimaneno vyako. Keep it up mumy. Kila la kheri. Mamoya
Thank mumy tupo pamoja.
hi dida,hebu shotsjaribu kutafuta make up inayo endayo na rangi ya uso wako bibi
bibi we mtamu ukikaa nyuma ya kipaza sauti unakubalika
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Ebwanaa mzuka sana nawafagilia sana kuanzia utangazaji nyimbo hadi kipindi mpo juu big up dida kwa kuwa unatupa mambo ya taarab
ReplyDeletesafi mmependeza sana dida tupe namba yako shoga ya kipindi tumefurahi kwa kutufungulia blog
ReplyDeletemko juuuuuuu sana twayasubiri hayo
ReplyDeletempango ndio huo wadau sebenukaaa!
ReplyDeleteDida yaani ukiwa radioni sitaki hata siku moja nikose! Kama sasa hivi umenitilia "khaaaa hafedheheki mtu mjini hapa, wapiiiiiiii!" yaani unaniua na vijimaneno vyako. Keep it up mumy. Kila la kheri.
ReplyDeleteMamoya
Thank mumy tupo pamoja.
ReplyDeletehi dida,hebu shotsjaribu kutafuta make up inayo endayo na rangi ya uso wako bibi
ReplyDeletebibi we mtamu ukikaa nyuma ya kipaza sauti unakubalika
ReplyDelete