Hongera dada ake mimi huwa napenda kukuita mpiganaji kwa sababu unatazama kile unachowaza wewe na sio wanachowaza wao. nakupenda kwa kuwa unaonyesha kuwa WANAWAKE BILA WANAUME TUNAWEZA.
Wee unayemkosoa huyo dada kwamba hiyo sio treni kumbe ni nini? wee ndio mshamba umekariri mambo tu,kwa yeye ni sawa kuiita treni kwa sababu ndio huku bongo tunavyoiita, kwani ukienda miji mingine hiyo unayoiita ambayo unaiita metro wao wanaiita tube na majina mengine so yuko sawa tu kuiita treni wala hajakosea.
Hongera dada ake mimi huwa napenda kukuita mpiganaji kwa sababu unatazama kile unachowaza wewe na sio wanachowaza wao. nakupenda kwa kuwa unaonyesha kuwa WANAWAKE BILA WANAUME TUNAWEZA.
ReplyDeletelove u shostito
NAMKUBALI BACHELA UNAYAWEZA TUPE TUPE HAPA KAZI TU UNANIFURAHISHA WEWE MTOTOOOO UKO NGANGALI
ReplyDeleteNa hio slender ilio kushoto kwenu mko nayo, imetuliaaaaaa
ReplyDeleteNapenda sana mtu kujishughulisha na biashara zingine hata kama umeajiriwa sio kubweteka na ajira tu, much respect
ReplyDeletena hiyo sio treni ni metro dada!!!
ReplyDeleteWee unayemkosoa huyo dada kwamba hiyo sio treni kumbe ni nini? wee ndio mshamba umekariri mambo tu,kwa yeye ni sawa kuiita treni kwa sababu ndio huku bongo tunavyoiita, kwani ukienda miji mingine hiyo unayoiita ambayo unaiita metro wao wanaiita tube na majina mengine so yuko sawa tu kuiita treni wala hajakosea.
ReplyDeletesn tuuuuuuuuuuuuuuuuu.........................
ReplyDeletesn tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.....................
ReplyDelete