COCO KUMEKUCHA NAMSHUKURU MUNGU ACHA WAPIGE KELELE MIMI NASAKA MAHELA

Sunday, March 30, 2014 14 Comments

14 comments:

  1. Hongera Dida kwa kujitu kufanya biashara. Nimependa hiyo nywele na imekupendeza sana ni weaving ama wig? Na gauni ni zuri umependeza Dida!

    ReplyDelete
  2. Upo Powa tupo pamoja Dida

    ReplyDelete
  3. uko juu mamy , wacha wapige kelele za umbea na kurudi nyuma kimaendeleo . wewe piga kelele za kutafuta pesa na kukaribisha wateja . pls nipe diet yako umependeza

    ReplyDelete
  4. Umependeza Leo achana na vile unavaaga eti swag we we huendani nayo Huwa hupendezi vaa classy mini dress au long dress unaonekana wa maana na Leo hujapishanisha miguu safii achana na like pozi

    ReplyDelete
  5. HE! MASHAUZI YOOTE UNA LAKI MOJA MKONONI DIDA, BADO SAAAAANA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahh huo wivu bibie katangazeee

      Delete
    2. We ata elfu moja auna nyoo iyo bundle yenyew umekopa tigo min kabang ili upate mb ya kuingia net kwendraah uko

      Delete
    3. Laki moja inakuuma eeeeeeee we umezalisha ngapi kwa hiyo siku moja?????? acha wivu wa kijinga piga kazi, umeziangalia vizuri hizo hela??? ziko kwenye mafungu ya laki laki so relax dogo jitume one day na wewe utahesabu tu kama Dida hata kama utahesabu buku kumi ila itakuwa yako ya halali namaanisha ya jasho lako.

      Big up Dida ongeza juhudi watasanda sana mwaka huuuuuuu

      Delete
  6. wacha mashauzi ya kijinga dida,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwache ajidash dash bibi kidogo chakee kikubwa chenu.

      Delete
  7. Sasa lakimoja si yake wewe vip wawapiiiii wewe

    ReplyDelete
  8. Umu team kujishaua tu ukikelwa Anglia mbele shelter voice

    ReplyDelete
  9. We vipi hebu tupishe huko na miwivu yako Milioni 10 bila hiyo laki itakuwa Milioni 10?

    ReplyDelete