mimi ni mpenzi wa kukutembelea humu sana cjawahi kucoment ila leo nakwmbia ukeli UMEPENDEZA MNO KUPITA KIASI jtahd uwe unavaa nguo a kiheshima km hv h ndo maana ya mke wa mtu sasa..
Leo nimekupata MWACHE AMESIKIA ..UNATIRIRIKA KAA MAJI YA MLM KILIMANJARO.MAPENZI HAYAGAWIKI DIDA MDOGO WANGU . DIDA BI HINDU KANIUA MAINI MPAKA HATI YA BABA YAKO UNAMPA. MAPENZI UKIYAINGIZA ROHONI NI KISIRANI
Ndio nini sasa nguo km ya sendoff, mikia ya nyuma ya nini sasa we achaga ushamba mfyuuuuuuu, mikono angeibana mbona kaiachia km masikio ya mbwa. Shona nguo ili uweze kuvaa popote. Huyo fundi wako bado kdg ajitahidi zaidi
mimi ni mpenzi wa kukutembelea humu sana cjawahi kucoment ila leo nakwmbia ukeli UMEPENDEZA MNO KUPITA KIASI jtahd uwe unavaa nguo a kiheshima km hv h ndo maana ya mke wa mtu sasa..
ReplyDeleteDida mmmh Mashaalwah ni mie somo yako ktk blog hii ,Umependeza sana tena sana .kuanzia chin mpaka juu.Bongo kuna vitu
ReplyDeleteLeo nimekupata MWACHE AMESIKIA ..UNATIRIRIKA KAA MAJI YA MLM KILIMANJARO.MAPENZI HAYAGAWIKI DIDA MDOGO WANGU .
ReplyDeleteDIDA BI HINDU KANIUA MAINI MPAKA HATI YA BABA YAKO UNAMPA.
MAPENZI UKIYAINGIZA ROHONI NI KISIRANI
kawaida sana
ReplyDeleteDida umependeza sana,hakika nguo za style hii ndio zinakupendeza zaidi,nami ni kama mdau aliepita tu sijawai kucomment ila leo imenibidi.keep it up.
ReplyDeletefundi wa sasa anakupatia
ReplyDeletecousin umependezaje...nguo imekutendea haki mashallah..mbona kwenye kparty ckukuona nilimouona aunt yuko alone..alipendeza pia aunt yangu..
ReplyDeletePendeza sanaa Dida
ReplyDeleteNdio nini sasa nguo km ya sendoff, mikia ya nyuma ya nini sasa we achaga ushamba mfyuuuuuuu, mikono angeibana mbona kaiachia km masikio ya mbwa. Shona nguo ili uweze kuvaa popote. Huyo fundi wako bado kdg ajitahidi zaidi
ReplyDelete