Mmependeza sana hao ambao wananuna na wanune mungu amewajaalia mnaendana sana sana hata waseme nini ?mnapendeza sama binadamu kuongea wamezoea hawafanyi yao mjini nawafagilia sana mapenzi toka moyoni
Dida unapendeza sanaaa na mumeo aisee HASWA pale unapokuwa upande wa Mke, kushoto kwa Ezden. Hongera sana, mwanamke anayekaa kulia kwa mume amemkalia kichwani mume. wewe ni mke wa ukweli.
Wooow! pendeza sn nyinyi.....dis is de nyc COUPLE ever! me penda nyie sanaaaaaa
ReplyDeleteumzalie mumeo japo watoto 2 ndio ndoa yako itapendeza zaidi mdogo wangu Dida
ReplyDeleteHaloooooo! Mmenogaaaa mwaya!! Kwa raha zenuu kwa shida zaoooo!!. Pili aogwa
ReplyDeleteMmependeza sana hao ambao wananuna na wanune mungu amewajaalia mnaendana sana sana hata waseme nini ?mnapendeza sama binadamu kuongea wamezoea hawafanyi yao mjini nawafagilia sana mapenzi toka moyoni
ReplyDeleteDida unapendeza sanaaa na mumeo aisee HASWA pale unapokuwa upande wa Mke, kushoto kwa Ezden. Hongera sana, mwanamke anayekaa kulia kwa mume amemkalia kichwani mume. wewe ni mke wa ukweli.
ReplyDeletefrom ur big fan from IG
i love this couple.......
ReplyDelete