MWANAMKE KUJIAMINI, USIPOJIAMINI HUJAKAMILIKA NA HATA UKIPEWA TENDA YA KUONJA SUMU KIWANDANI....
Kuna baadhi ya wadau wananiambia nisiwe namuweka mume wangu humu labda niwatoe hofu jamani, usishtuke na kelele za simba aliyopo polini kabisa hata usipomuweka wakitaka kumnyakua wanamnyakua tu hata usipo mtangaza jamani nimeshajivika mabomu niko tayari kulipuka kama nipo daful msiwe na hofu nimezaliwa kushinda sio kushindwa.
Bibi weeeee muweke mumeo usiogope issue yoyote, magube gube wakiamua kumtafuta watampata tu hata ucpo muweka kwa website, jivike mijiwani ya mbaooo bibi na masikio tia pamba.
ReplyDeletenalo neno wangu
ReplyDeletedida sikuwezi una maneno wewe you made my day
ReplyDeleteMweke tu jamani, kupendwa raha
ReplyDeleteMuweke kwa raha zenu napenda sana couple yenu binadamu kusema wamezoea uyo mumeo hujamuibia mtu si kama wale mara unawakuta na wanawake unaogopa kuwaweka mumeo yuko free na wewe hata kwenye instagram wenyewe kwa raha zenu pamoja anakusifia mkewe ila mungu amekupa sasa yule uliyemtaka sio limbukeni kabisa ungeshamjua dida mdogo wangu mapema nakuaminia huwa uogopi kitu kaza buti songa mbele nawafagilia sana
ReplyDeleteMuwekeeeeeee kwa raha zakoooo kama hukujiachia hapa duniani ukajiachie wapiiii? Kaburinii??? Tena muweke mara kumii kwa sikuu!!..PILI AOGWA
ReplyDeleteMapenz ndio hayo sio kama sintah ad mtoto anamficha ficha
ReplyDeleteMwanaume wa kweli hamkimbii mkewe.
ReplyDeleteMwanamke mume bb,kuolewa bakhti hvyooo,wngn wanakesha kwa waganga...jinadi kwa raha zkoooo!chezea kupendwa ww?!MAMAKE SAUSAN NA SABRAH
ReplyDelete