Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- THE AFTERMATH...
- SIPENDI WANAWAKE MNAOWANANGA WAUME WA WENZENU TUONYESHENI WENU JAPO KWA PICHA.
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
hongera umependeza na gaun yako mwaya, kwel shem anakupenda jaman ajifichi usoni always anatabasamu,all the best mamy!Na mie siku nikipata mchumba ntakuarika uje unipe maksi ,mana couple yenu naizimikia sana.
ReplyDeletehappy for u dida!!! mumeo anakujali sana!
ReplyDeletehappy birthday DIDA next year nitakutafuta tule bata kwa pamoja kwa sababu mimi na wewe tulizaliwa tarehe 22/10 enzi hizooo nahisi kinywaji kitamu hicho utafikiri maziwa naomba jina lake tafdhali all the best mwanamke mtafutaji
ReplyDeleteumeniudhije? ulikosa pamba za kuvaa? mmh umevaa kiswahiliiiii
ReplyDeleteHappy birthday mamitooooo!! Mwenyezi mungu akupe umri mrefuuuuu inshaallah!! Pili aogwa
ReplyDeleteShe didn't dress kiswahili as u said, wewe fala hapo juu 3:36PM yuko sawa. By the way ulitaka avae trouser??? Why don't u write in english, so that we can know ur not a swahili. Think before u write msonyooo. Nakupenda Dida and be blessed with ur marriage.
ReplyDeleteJamani nimefurahi kumuona Abdallah bado kibonge kama alivyokuwa nimefurahi sana msalimie.rfk yake wa primary
ReplyDeletehappy birthday mycousin...msalimie dullah..nimependa pozi lako la "hakatwi mtu hapa"....ha ha ha haaaaaaa
ReplyDelete