Most Popular Posts
-
AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
-
SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
-
HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
-
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.... KHERI KWA KILA MTU
-
THE AFTERMATH...
-
MY WEDDING DAY....
-
WADAU KWELI MIMI NI MTU MZIMA WALA SI KIPANDE NA SIJAFIKIA UTU UZIMA UOOOO SABABU SICHAMBII PANGA WALA SIPIGI DANADANA KWA MAKALIO,ILA NAPENDA NIWATOE HOFU NYIE MNAOJIFANYA MNANIJUA SANA KULIKO MAMA YANGU MZAZI NI HIVI NAMTAJA LIVE SABABU ANAJUA SIMUHOFII WALA SIMUOGOPI NA SINA SHARI NAE ILA AKIITAKA KWANGU ATAINUNUA KWA BEI RAHISI BILA YA VAT,SINTA NAKUTAJA NA NAJUA HUWEZI CHAMBANA NA MIMI HATA ROBO MAANA NITAKUPA UMAARUFU WA MUDA MCHACHE MAANA HATA WA KUTATIZA KATIKATI YA MSAFARA WA RAISI UTACHUKUA MUDA,NYIE MNAOSEMA NAMUOGOPA SINTA ANALIJUA ILO KUWA SIMUOGOPI HATA KIDOGO NA NIKITAKA KUCHAMBANA NAE SI HUMU NAMTAFUTA KWA GHARAMA ZANGU TUCHAMBANE FACE TO FACE KWA HIYO SINTA FANYA YAKO ANDIKA YAKO UMO KWENYE BLOG YAKO KWELI MIMI MTOTO WA KISWAHILI SINA UZUNGU HATA ROBO ILA UKINICHOKONOA UTAJUA KAMA MIMI MZUNGU AU MZARAMU NYIE WAZUNGU ENDELEENI NA UZUNGU WENU KWANGU NDIO KWANZA MKOKO UMEALIKA MAUA,KUMBUKENI MATUSI YENU HAYANITOI KOPE NDIO KWANZA ZIMENISIMAMA KAMA KIBANDA CHA SIMU.
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
-
SO HAPPY....
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY

Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
Followers
Viewers
5399243
Monalisa kapendeza. Ila Dida hicho kipensi hakijakupendeza kabisa.
ReplyDeleteJamani we anon sasa hiyo roho mbaya hapo ni beach mchangani kbs sasa dida kuvaa kipensi kavunja anaendana na mazingira ya sehemu hao waliovaa magauni na mabwanga hapo ndio sehemu yake dida umependeza sana nspenda kila sehemu unakuwa na mumewe mungu awabariki sana
ReplyDeletehongera zenu dida wote mmependeza mwenzangu hopeful mli enjoy sana...
ReplyDeleteWote mlipendeza Sana much love kwa #teamtimes,jamani hujaona hicho kibukta kina tait nyeusi ndani Kuna watu mnagubu nyooooooooooo
ReplyDeleteNyoko zake kweli watu wanaenda na mazingira sifieni mwenzenu akipendeza midomo mirefu kama chupa manina zenu umependeza sana muke yake ezden babu wakuwache wivu tu umetoka sana mie penda weww mwanamke mjasiliamali napenda maendeleo yako sana nikija bongo nakutafuta mamii uje na uku pls unaenda nchi nyingine uku uji njoo mama tunakupenda sana
ReplyDelete.ulitakiwa uwe unaandika majina yao chini ya picha zao itz me naysha
ReplyDeletewe anony mwenye kimbelembele cha kucomment mwisho unacoment pumba, hicho kipens na eneo husika ndio mwake, we ulitaka avae dira, umuwaache mycousin aenjoy maisha, mumewe keshamuona kapendeza we hata ukiona kachemsha sawa tu kwani we nani....kwendraaaaaaa....!
ReplyDeletecaptions dada yangu mpenzi.utambulisho tafadhali.nakupenda tangu enzi zile za kaole,Na mr bomba alivyotukoka nilikumbuka uivyokua msaidizi wake. much love
ReplyDeleteMMEPNDEZA WOOTE NAMAVAZI HAYO NDIO SEHEMU YAK HASWA,WEWE UNALAUMU DIDA HAJAPEDEZA ULITAKA AVAE DIRA ,MIJITU MINGINE HAMKOSI MANENO.DIDA MKO POWAA NAMUMEO EZDEN NONEKAN MSTAARABU SAANA.YAANI KIJANA MTULIVU NAMSTARABU HANA PAPARA KAMA VJANA WENGINE.MBARIKIWE SAANA NAWAPENDAJEE.ALAFU KUMBE MONA A MAMAKE WOE WANAFANYA KAZI TIMES FM?NILIKUWA SIJUI UNAJUA TENA TUKO NJE WENGINE HATUFATILII SANA KILAKITU BOGO.NAWAPENDA MONA NAMAMAKE WAKO COOL.DIDA NIKIJA DEC NITAKUJA DUKANI KWAKO KUNA VITU NIAKULETEA MAMII TUFANYE BIASHARA KDGO.LOVE U ALL. MDAU SWEDEN. KBUKA NA HILI CAREEN SVENSON.
ReplyDeleteHajapendeza. Full stop!
ReplyDeletecaption muhimu bibie
ReplyDelete