Most Popular Posts
-
AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
-
SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
-
HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
-
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.... KHERI KWA KILA MTU
-
WADAU KWELI MIMI NI MTU MZIMA WALA SI KIPANDE NA SIJAFIKIA UTU UZIMA UOOOO SABABU SICHAMBII PANGA WALA SIPIGI DANADANA KWA MAKALIO,ILA NAPENDA NIWATOE HOFU NYIE MNAOJIFANYA MNANIJUA SANA KULIKO MAMA YANGU MZAZI NI HIVI NAMTAJA LIVE SABABU ANAJUA SIMUHOFII WALA SIMUOGOPI NA SINA SHARI NAE ILA AKIITAKA KWANGU ATAINUNUA KWA BEI RAHISI BILA YA VAT,SINTA NAKUTAJA NA NAJUA HUWEZI CHAMBANA NA MIMI HATA ROBO MAANA NITAKUPA UMAARUFU WA MUDA MCHACHE MAANA HATA WA KUTATIZA KATIKATI YA MSAFARA WA RAISI UTACHUKUA MUDA,NYIE MNAOSEMA NAMUOGOPA SINTA ANALIJUA ILO KUWA SIMUOGOPI HATA KIDOGO NA NIKITAKA KUCHAMBANA NAE SI HUMU NAMTAFUTA KWA GHARAMA ZANGU TUCHAMBANE FACE TO FACE KWA HIYO SINTA FANYA YAKO ANDIKA YAKO UMO KWENYE BLOG YAKO KWELI MIMI MTOTO WA KISWAHILI SINA UZUNGU HATA ROBO ILA UKINICHOKONOA UTAJUA KAMA MIMI MZUNGU AU MZARAMU NYIE WAZUNGU ENDELEENI NA UZUNGU WENU KWANGU NDIO KWANZA MKOKO UMEALIKA MAUA,KUMBUKENI MATUSI YENU HAYANITOI KOPE NDIO KWANZA ZIMENISIMAMA KAMA KIBANDA CHA SIMU.
-
MY WEDDING DAY....
-
THE AFTERMATH...
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
-
Uzinduzi wa AIBU YAO AIBU YETU ya Hassan Ally, ulivyofana Vatican city Sinza
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY

Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
hongera sana DIDA wanawake tunaweza tena sanaaaaaaaaaaaaaa,MUNGU azidi kukupa nguvu na maarifa katika juhudi zako.
ReplyDeleteHongera sana DIDA mwanamke kujishuhulisha MUNGU akujalie kila la kheri katika biashara yako
ReplyDeleteOKAY,Dida duka lako zuri kwakweli...liko wapi? natamani nije niangalie cha kununua..nielekeze liko kipande kipi cha dar?...afu umeongea point sana hapo "KUUNGANA MKONO NI KAWAIDA KWA BINADAMU TUNAOTAKIANA MEMA HATUWEZI KUFANANA KWA KIPATO ILA HATA BARAKA ZAKO KWA WENZIO DAWA CHUKI NI HASADA ZA ROHO TU TUPENDANE "....hilo neno!
ReplyDeleteNimependa sana changi room ulivyotumia pic zako mwenyewe hy inaonyesha ni jins gani unajiamini, koz wengine wanakazi yakuweka pic za maceleb
ReplyDeleteAMIN WADAU WANGU DUKA LIPO KINONDONI KWENYE MATAA YA STUDIO UKIKUNJA TU KONA KAMA UNAENDA MANGO GARDEN ZILE FLAME ZA MWANZO KABISA UTAKUTA BANGO LA NJANO LIMEANDIKWA KWA MAANDISHI YA NJANO DIDA CLASSIC BOUTIQUE.
ReplyDeletehaya ndo mambo nlokuwa nayasubir kwa ham dida
ReplyDeleteMashaAllah hongera sn dada.
ReplyDeleteSAFI SANA HAYA NDIYO MAMBO C KUTWA KUTOA KASORO ZA WENZAO KM VILE WAO WAMEKAMILIKA ...MOLA AKUZIDISHIE
ReplyDeleteMy dear Kama sisi tuliye Arusha tutapataje kama kuna kitu tumependa toka kwa boutique yako? unajua sana kuchagua simple nzuri
ReplyDeleteHongera sana dida, Mungu akujalie baraka, heri na mafanikio zaidi na zaidi
ReplyDelete