Most Popular Posts
-
AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
-
SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
-
HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
-
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.... KHERI KWA KILA MTU
-
WADAU KWELI MIMI NI MTU MZIMA WALA SI KIPANDE NA SIJAFIKIA UTU UZIMA UOOOO SABABU SICHAMBII PANGA WALA SIPIGI DANADANA KWA MAKALIO,ILA NAPENDA NIWATOE HOFU NYIE MNAOJIFANYA MNANIJUA SANA KULIKO MAMA YANGU MZAZI NI HIVI NAMTAJA LIVE SABABU ANAJUA SIMUHOFII WALA SIMUOGOPI NA SINA SHARI NAE ILA AKIITAKA KWANGU ATAINUNUA KWA BEI RAHISI BILA YA VAT,SINTA NAKUTAJA NA NAJUA HUWEZI CHAMBANA NA MIMI HATA ROBO MAANA NITAKUPA UMAARUFU WA MUDA MCHACHE MAANA HATA WA KUTATIZA KATIKATI YA MSAFARA WA RAISI UTACHUKUA MUDA,NYIE MNAOSEMA NAMUOGOPA SINTA ANALIJUA ILO KUWA SIMUOGOPI HATA KIDOGO NA NIKITAKA KUCHAMBANA NAE SI HUMU NAMTAFUTA KWA GHARAMA ZANGU TUCHAMBANE FACE TO FACE KWA HIYO SINTA FANYA YAKO ANDIKA YAKO UMO KWENYE BLOG YAKO KWELI MIMI MTOTO WA KISWAHILI SINA UZUNGU HATA ROBO ILA UKINICHOKONOA UTAJUA KAMA MIMI MZUNGU AU MZARAMU NYIE WAZUNGU ENDELEENI NA UZUNGU WENU KWANGU NDIO KWANZA MKOKO UMEALIKA MAUA,KUMBUKENI MATUSI YENU HAYANITOI KOPE NDIO KWANZA ZIMENISIMAMA KAMA KIBANDA CHA SIMU.
-
MY WEDDING DAY....
-
THE AFTERMATH...
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
-
HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
-
Uzinduzi wa AIBU YAO AIBU YETU ya Hassan Ally, ulivyofana Vatican city Sinza
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY

Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
safisana mdada kulabata maisha yenyewemafupi ,umependeza sana ilaukipunguakidogoutapendeza zaidipunguza mamisosi kidogoo,wazungu kushnei wamefulia na bata lao la kimaskinimimi penda wewe sana
ReplyDeleteNimependa hiyo nguo dida Ni Blausi na Gauni au inakuja kama suti ? Unayo Dukani kwako? Please nijibu
ReplyDeleteme nimetamani tu huo msosi hasaaa samaki we acha tu udenda unanitoka
ReplyDeleteMDAU NI BLAUSI NA GAUNI WIKI IJAYO NITAPOKEA MZIGO UKIFIKA TU NAWASTUA.
ReplyDeleteDida upo juuu
ReplyDeletePendeza sana mamiiii!! weee acha 2,Daah!!
ReplyDeleteDida mie nakukubali sana tu yaani life style lako kwangu mie buruuudani, mtaa wa pili wameufyata kimyaaaaa..............Hiyo nguo nzuri sana nambie bei na size za mabonge bonge zipo??
ReplyDeletedidah mwanza hiyo nini? naona hao wanyama kama wa isamilo lodge mwanza.
ReplyDeleteVp mzigo umefika dukani kwako?