Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- HII NI KWA WANAWAKE WENZANGU WENYE WATOTO,MTOTO WAKO AKIFIKISHA UMRI WA MIAKA MINNE MPE MAZIWA YA NIDO NIAMINI.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- THE AFTERMATH...
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
achana nao bidada songa mbele
ReplyDeletewametumika toka askari wanavaa pensii kwiiiii kwiiiii uwiiiiii ahh hapana hii mwisho
ReplyDeletewakuwaaacheeeeeeeeeeeee mtu na mavyeo yako
ReplyDeleteDida mie penda wewe, wachane wachane wachane haoo, dada yangu Mashauzi yanataka pesa na wewe umejaaliwa waache waungue roho
ReplyDeleteweraaaaaaaaaaaaaaaaaaa hawatokaa wakufikie hapo labda waje na winchi hapo na wataitoa wap wanaijua winchi wachamba wima hao. penda sana ww dida.
ReplyDeleteDida mie mkubwa kwako ila leo SHIKAMOO dada heheheheiya hata uwe na meno kama ngiri huwezi tafuna maji lol! Chupi hata ichanike vipi huwezi pigia deki hahahahaa Dida mamiyo asingekuzaa pangechimbikaaaaa hatareeeeeee, maaana wangekoma manesi na madaktari humo humo ukiwa tumboni
ReplyDeleteAchana nao Dada Yangu Dida wee kaza buti na Mwenyenzi Mungu aendelee kukubariki,ila umenichekesha sana eti hata kama una meno makubwa kama ngiri huwezi kutafuna maji ha ha ha haa nakupendajeee
ReplyDeleteYANI DA DIDA HUYO SINTA MWENYE PUA KAMA KIFUU CHA NAZI, ALIKUWA ANIJIFANYA SHOST WAKO KUMBE N MNAFIK WHY ANARUHU KOMENT KAMA ZA KUKUTUKANA JAMANI BORA HATA ANGEKUAMBIA TU PEMBEN ANAJIVAISHA PETE WAKAT HANA MCHUMBA,ALIJIPENDEZA KWA OKWI WEE NA HAKUAMBULIA KIU,KWANZA AMESHAZEKA,ATAJIRINGANISHA NA WEWE MTOTO WA MJIN,HAKUWEZ KAMWE.
ReplyDeletealafu mtoto wa watu dida alikuwa hata hana tabia ya kurusha coment za kutukana mtu,masikini dida yeye ana kipaj cha kuogea tu,ila huyo pua pana anachoitaj n JAM kwenye kibrog chake kwa kutumia jina lako.
ReplyDeletepole dada, we real love you,kama kuchemsha kuvaa mbona inatokea tu kwa watu wengi mara moja moja.
SINTA TUMEKUCHOKA MJINI,RUDI ULIKOTOKA NA UKACHUKUE MTOTO WAKO,UJICHANGANYE NA WAZEE WENZIO SIO WATOTO WADOGO NA PIA UFANYE UPASUAJ WA PUA NA KUONGEZA MGUU,FYUUUUUUUUUU,
Namchukia huyo marehemu kujifanya ana bwana TRA kaenda kuambulia lijikimwi tunamsiti kwa kutotoa siri zake ila bora anyamaze maana majemedari wa DIDA tumejipanga kumsambaratisha hadi akimbie mji
ReplyDeleteTena huyo SINTAH akukome kujifanya mpana kama pazia la leba wakati hana lolote kujifanya ana hela hana hata kiosk cha kuuza maji ya uhai mwanamke biashara bibi sio maneno
ReplyDeleteMPIGANAJI WANGU DIDDZZZZZZZZ....ACHANA NA HUYO KOBE ZEE! PUA KAMA KIATU CHA MBUZI. ANA NINI HUYO NAYE? KAZI KUNADI MAVAZI YA WATU, KWANINI ASINADI BIASHARA YAKE KAMA WEWE UNAVYO MODEL BIASHARA YAKO? MWANAMKE BIASHARA NA PESA, SHIKAMOO NA UZUNGU WAKO MAKELELE TU..LETE HESABU ZAKO HAPA SIO UZUNGU ZUNGU HAPA..UZUNGU NDIO NINI? SISI NDIO WAZALENDO NA TUTABAKI KUA WASWAHILI TU PAMOJA NA WEWE SINTAH UNAEJIFANYA MZUNGU MAMAAKO MZUNGU? SHANGAZI YAKO JE? FYUUUUUUUUUUUUUUU BI KIZEEEEEEEEEEE CHAPE WEWE! NYAMBAVU WEEEEEEEEE.. ACHANA NA WENYE NYOTA ZAO WAKAFUNGE MAHESABU..
ReplyDeletedadaaaaaaaaaaa,kila siku lazima niangalie blog yako,nakupenda sana,napenda sababu ni mfanyabiashara mzuri,watu wasikubabaishe ishi vile unavyotaka,ujue wapo watu tele wanaokupenda,huyo mmoja asikuvunje moyo,achana nao
ReplyDelete