BINGWA WA KUWAKOROGA WATU NDONYA SASA NIPO STUDIO NIKIZITEMA CHECHE ZANGU,FUNGULIA 100.5 TIMES FM NDIO UMSIKIE MAMA YAO NIKISUKUTUA WATU VINYWA BILA MAJIII,HAPANA CHEZEA HAPA LAZIMA UPAPARIKE KAMA KUKU MWENYE KIDELI HUJAITWA KWANGU UTAITIKA KAMA ULIKUJA MJINI NA JEMBE SHOGA UTALIMA LAMIEEEEEEEE.KUANZIA SAA SITA MCHANA MPK KUMI ZA JIONI NIKIWA NA BI HINDU KILA SIKU YA JUMATATU HADI IJUMAA,ILA JUMAPILI UNAKUTANA NAMI TENA KUANZIA SAA KUMI NA MOJA JIONI HADI MBILI KAMILI USIKU NDANI YA TIKISIKA KIPWANI,HAPANA KUKOSA UHONDO UNAWEZA UKASIKILIZA KUPITIA WWW.TIMESFM.CO.TZ UTAKOSA UHONDOOOOOO ILI NDIO JEMBE WENGINE MIPINI TUUUUUU.

Tuesday, March 05, 2013 4 Comments

Soma Taarifa ya Habari kwa Nyumaaaaaaaaaaaa.

4 comments:

  1. dida kawaida saaaana ingekuwa sasa umejaliwa kibinda ngoi si ingekuwa balaa hivi tu mwenzangu na mimi kwa shepu si kiviiile kawaida sana loh! lakini kwa mashauzi hujambo

    ReplyDelete
  2. Jamani dida times lini tunamiss sana vipindi venu

    ReplyDelete
  3. WEWE ANON @4:25AM. NDIYO MAANA AKASEMA ANAJIAMINI.MSIPENDE KUKOSOA WENZENU KILA WAKATI.SHAPE NI YAKE ALIYOJALIWA NA MWENYEZI MUNGU.WEWE ULIYE NA SHAPE NZURI ANZISHA BLOG YAKO UWE UNAWEKA PICHA ZAKO.NA HATA AKIJISHAUA WEWE TATIZO LAKO NI NINI?WE NDIYO FINANCIAL PROVIDER WA FAMILIA YAKE.WOTE 2KO TOFAUTI WA AFRICA 2PENDANE KHA VIUMBE GANI 2SIYO NA U2 MWE?MUNGU 2LINDE NA 2SAMEHE.

    ReplyDelete
  4. DIDA MAMA JISITIRI KIDOGO UMEZIDI KUJIWEKA UCHIIII MASHAVUUU HAYO YANAANZA KUCHUMA KUNDE

    ReplyDelete