WADAU KWA YEYOTE AMBAYE BADO ANAMAPENDA MPENZI WAKE NA WANACHAKACHUANA KISIRI NI BORA MJILIPUE TU KULIKO KUUMIZA NAFSI ZENU WAKATI MNAPENDANA CHUKUENI MAAUMUZI KAMA WENZETU KULIKO KUJIIIBA INAHUSU.

Thursday, February 21, 2013 3 Comments

Wameamua na hakuna kinachoshindikana chini ya jua usijipe vidonda vya TUMBO kumbe Huli,Hulaliiii jilipueeeeeeeee.

3 comments:

  1. DIDA UNAZIBANIA MNO COMMENTS ZANGU SIELEWI KWA NINI ????? SIRI YA MAPENZI YA ULAYA TOFAUTI NA AFRIKA . MBONGO HATA UKIIBA NAE NI BASI TU MHOGO WA JANGOMBE.. ANAVYA PEMBENI KIBAO KARAHA TUPU BORA MTU UFICHE MAANA ATATOLEWA LIVE MAGAZETIN NI KIDADA KINGINE .SHOGA WAACHE WAFICHE TU

    ReplyDelete
  2. Jilipue wewe na mnayechakachuana kujifanya mmeachana kumbe loooooh huna haya

    ReplyDelete