MADAM RITA NA
SALAMA J WAKIPIGA PICHA NA WAFANYA KAZI WA ZANTEL NJE YA BANDA LA ZANTEL -
SABASABA
 |
| MADAM RITA AKIKARIBISHWA KWENYE BANDA LA
ZANTEL NA MKUU WA MASOKO BW. DEEPAK KUMAR GUPTA. |
| SALAMA J AKIPIGA PICHA NA MSHABIKI WAKE. | | |
| MASTER J AKIPIGA PICHA MBELE YA TANGAZO
LAKE LA EPIQ MOTO. |
 |
| MADAM RITA AKIWASALIMIA WAFANYAKAZI WA
ZANTEL |
 |
| MADAM RITA AKIZUNGUSHWA BANDA LA ZANTEL
SABASABA |
 |
| MADAM RITA AKIONGEA NA WAANDISHI WA
HABARI |
 |
| MENEJA MAWASILIANO WA ZANTEL, AWAICHI
MAWALLA AKIJIBU SWALI LILILIOULIZWA NA MWANDISHI WA HABARI. |
 |
| MAJAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, MADAM
RITA, SALAMA J NA MASTER J WAKITOKA KWENYE BANDA LA ZANTEL |
| SALAMA J NA MASTER J WAKIPEANA MIKONO NA
WANAFUNZI AMBAO WALIKUWA NJE YA BANDA YA ZANTEL | | | | | | | | | | | |
| UPENDO ERNEST AKICHUKUA FOMU YAKE YA
USAJILI KWA AJILI YA EPIQ BONGO STAR SEARCH. |
0 comments: