BEATRICE ALIPOIBUKA MISS BAGAMOYO 2012
Miss Bagamoyo 2012 Beatrice aliyekaa sambamba na washindi wengine Rose na Dayna kulia ambaye pia alishinda Miss Talent, kushoto ni mshiriki namba 3 ye alishika nafasi ya 4. |
Top 5 ya Miss Bagamoyo ambayo itashiriki ktk kinyang'anyiro cha kumsaka Miss Pwani hapo baadae |
warembo wakifungua show |
Mshiriki akipita na vazi la ubunifu |
Miss Talent akionyesha kipaji chake |
Top 5 wakijibu maswali |
Mamaa Awetu, mwandaji wa Miss Bagamoyo akibadilishana mawazo na Mc wa shindano hilo |
Twanga Pepeta wakiongozwa na Amigoras walipiga Show kali ktk kusindikiza Miss Bagamoyo 2012 iliyofanyika ktk ukumbi wa Chuo cha Sanaa Bagamoyo
0 comments: