THANKS MAMAA FATMA MWAMBA KWA KUNITUMIA UGONJWA WANGU,MUNGU MBONA AKUPE MAISHA MAREFU UNIDONDOSHEE BONGO VINGINE.

Wednesday, July 06, 2011 4 Comments

Kitu nikakifunguaje?
Aliponifurahisha sisemi mieeeeee.
Nitajuta kukufahamu.




Thanks kwa zawadi hii nitupie tu bongo mdakaji nipo mamito.

4 comments:

  1. Dida, hongera kwa kupata zawadi. Na asante pia kwa kusikiliza ushauri wangu wa kubadilisha theme/background ya blog. Sasa inavutia kwa kweli. Sijajua bado tatizo ni nini hadi picha zako hazizoom ili ziwe kubwa zaidi. Ngoja niendelee kutafiti zaidi kwanini blog za wengine picha zao unaweza kuzoom ila ya kwako huwezi. Nikipata jibu ntakujulisha. Kamera vp bado hujanunua, kama vp sema basi nikuelekeze pa kupata kamera nzuri.

    ReplyDelete
  2. Dida jamani kwani hii blog ulifunguwa kwa ajili ya matukiyo yako au ya jamii? hebu weka mambo ya jamii kidogo au ya vituvingine siyo taarabu tu jamanii! au umevamiya fani ya watu uzoefu huna, hebu ingia mtaani ujaze habari maana habari moja week! haileti hata hamu ya kuifunguwa!

    ReplyDelete
  3. Pica hazozoom kwasababu ya Hiyo Wibiya widget hapo chini, sijui blogu za kibongo zina nini,kila mtu anaziweka halafu hata hawazitumiii...hawaweki facebook page walla twitter wala picha kwenye flickr...ushamba tu, mi naona kama hawawezi kutumia wazitoe

    ReplyDelete
  4. kweli mdau umesema kweli, halafu hiyo sijui Wibiya inafanya blog inakuwa very sloooooooowww..

    ReplyDelete