Hongera Machozi Band kutimiza miaka sita.
wamepitia mengi magumu na mazito na kwa support ya Fans na discipline ya wanamuziki wenyewe wamefikia hapo....
Hongera sana kwa Uongozi wa Machozi Band kwa ukubwa mliouonyesha na heshima pia kwa wapenzi wa burudani hio kupata Tuzo.
Pichani juu Ni Mwinyi Goha, akikabidhiwa tuzo ya Mwanamuziki anejipenda na mwenye muonekano Safi, kuanzia mavazi n.k kwa kipindi chote ambacho yupo kazini.
Huyu anapiga Bass Guitar, Tangu MACHOZI inaanza mpaka leo yupo
Huyu si mwenye Tuzo, ni mke wa mwenye Tuzo hiyo inayoonekana pichani juu
Mfanyakazi bora wa MACHOZI BAND anaitwa DUDU
Pamoja na kuwa tunaimba watu wanakuja, lakini kuna watu huwa wanakuja kila siku, lije jua ije mvua na tumetambua mchango wao.
Tangu Chozi linaanza JJ Blue mpaka linapata makazi yake Nyumbani,
mdau yupo tuBLOG HII INAWAPONGEZA WASHINDI WOTE WA TUZO HIZO NA KUWATAKIA KILA LA KHERI KTK KUENDELEZA BENDI YA MACHOZI
tembelea zaidi
http://ladyjaydee.blogspot.com/
.png)





JAMNI TUACHENI UTANI HUYO JAMAA ALIE VAA SUTI NYEUPE ERASTO PICHA YA PILI TOKA MWISHO AMEFANAN SANA NA MAREHEMU MPKANJI AU MNASEMAJE
ReplyDeleteHAHAHAH DIDA HONGERA KWA HARUSI ILA UMEVAA KIZAMANI SANA YANI UTAFIKIR P[ICHA YA 1996 HILO VERY HAHAHAHAH NICHAMBE TU UJUMBE UMEKUFIKIA
TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI ILA JAMAA MHH UMECHAGUA BONGE LA DUDE ALAFU KIJANA HALOOOOOOO
KISHUNA