VODACOM WAZINDUA HUDUMA YA DSTV MOBILE.

Saturday, May 07, 2011 1 Comments

Kwa wale wateja wa Vodacom wenye simu za 3G wanaweza kupata taarifa mbali mbali sasa kwa kutumia simu zao pasipo malipo yoyote utaweza kuona TBC 1 Live,Movie hata The comedy kupitia simu yako ya 3G.



Kijana akiwa amejishindia kifurushi chake ndani kuna Tshirt,Kofia na vitu vingine kutoka Vodacom ilikuwa ni COKTAIL PART YA NGUVU PALE DOUBLE TREE MASAKI.
Baadhi ya wageni waalikwa akiwepo mkuu wa mkoa wa mtwara anayetaka kukaimu dar- es salaam MH SADIKI.

Helen,Steve kafaya,Irene Kiwia.


Dida, Ellyhuruma ngowI kutoka Vodacom.


Irene kiwia,Dida ndani ya DOUBLE TREE MASAKI Ilikuwa bomba sana.


Kazi ni kwako.


Ndo vile mdau.


Nikisalimiana na Kaimu mkuu wa mkoa wa Dar-es -salaam MH;SADIKI A mbaye ni mkuu wa mkoa wa Mtwara.


Wakibadlishana mawazo.

1 comment:

  1. Hilo lease weage unalivua gani lini?
    Maana kila picha yako na lease weage
    Naona maweage mengine hayakupendezi
    Tumelichoka
    Mashauzi huna lolote
    Na picha zako za kulazimisha watu ili uwatoe kwenye blog yako
    Inahusu

    ReplyDelete