KAZI ILIKUWA NI MOJA TU SIKU YA JANA NI NYONGA ZISIZOCHAKACHULIWA,NA MADILA YALITAWALA KTK KIBAO KATA CHA MWANA DAR-ES-SALAAM MAMAA SASHA BOFYA.
Kwa raha zenu mnapumua bila ushuru.
Monday, March 28, 2011 7 Comments
Kwa raha zenu mnapumua bila ushuru.
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
© Copyright DIDA MITIKISIKO Developed by MKCT
congrats Farida wishing you all the best girl
ReplyDeleteilikuwa safi sana ongera sana mdada
ReplyDeletenext time weka video na siyo still picture mnatunyima uhondo wa mauno
ReplyDeleteDida hongera mdada kwa kutuwekea picha, ila mimi tatizo langu liko kwenye picha unazopiga yaani camera yako inatoa picha zilizopauka sana, yaani ile raha ya picha inakosekana, Sisemi kwa ubaya ila jaribu kuangalia kwa makini utaona pls change the camera.
ReplyDeleteWako mpenda maendeleo yako.
ahsante mdau nitalifanyia kazi swala la camera nashukuru sana.
ReplyDeleteJamani wanawake Tanzania, tuweke vipodozi kidogo kwenye uso, kila mtu kwenye picha ni kama amechorwa!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKwani punch ina adabu saa zote hizo inakutunzia tu make up yako?!!!!!!!
ReplyDelete