NENO LA LEO.
Mti wenye matunda mazuri ndio unarushiwa mawe,na huwezi kuchukiwa na wote wapo wachache watakaokupenda na tambua ya kwamba ukimchukia mwenzio kipo alichokuzidi ndio maana unakerekwa,usimuhofie binadamu mwenzio akikusema ni maneno tu hata kwenye milango ya vyooni yapo jamani.Na unakuta binadamu ukimuona mwenzio kaajaliwa japo robo huwezi msifia sababu wewe hujajaaliwa msivunjike moyo mnaotafuta hao ni waja wanaozeekea makwao hawana mbele wala nyuma msigope kusemwa wanakufungulia njia yako yanakuendea bibi.
hilo nalo neno!!!
ReplyDeletehilo nalo neno watajibeba wasiopenda mafanikio wapo ewngi kama nini ujanja kuwapotezea.
ReplyDeleteAmina Zangira
Hillo nalo neno!
ReplyDeleteTenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Message sent and delivered. wataisomaaaaaa japo kimoyomoyo. Ukiufunga wa kwako mlango jua wa Mungu u wazi jamani.
ReplyDeleteDida shitua kijoti watakutaka mama ya Milenia.
leo umenena mama kweli mti wenye matunda ndio hupondwa mawe na ukiona mtu anakusema au anakuhofia ujue kuna jambo unamzidi umenifurahisha
ReplyDeletejamani dida unanifurahisha sana kwa maneno yako mana huwa hujali watu wanasema we mswahili we unafanya unachokitaka wewe tu na ukiona watu wanaumia basi ujue ujumbe umefika, kwakweli hii blog inatupa raha sana, fanya kile kitu roho yako inapenda lakine usifanye kuwarizisha watu alafu uuzi nafsi yako, utakufa mapema bure au utaugua ugonjwa wa moyo,
ReplyDeletewapiiiii wasiopenda maendeleo ya didaaaa msumari huoooo
ReplyDeleteUshamba na uswahili ndio unaokusumbua, subiri usifiwe na kupongezwa.
ReplyDeleteNimeipenda hio mamaa dida/tell me hiyo lace wig km yko ntaipata wapi nimeipenda'lol
ReplyDeleteanony hapo juu we una uzungu gani? na kama mzungu hapa umefata nn?timua kulee,huna cha kuandika?nyooo vidole vibayaaa ka chane ya ndizii,tumekuchoka uswahili,uswahili wivu tu unakusumbua....
ReplyDeletewee unaesema dida anakufurahisha maana hajali maneno ya watu wanaosema,wee pia ndio walewale maana mtu kama hajali huna haja ya kujibizana na mtu,angepuuzia tu. lakini ndio vile tena
ReplyDeleteDida kwa level yako kama kioo cha jamii unatakiwa kuignore mambo kama hayo, kama kuna mtu ameshindwa maisha yake nakufatilia yako basi ni mjinga and ukipotezea ndio inaonyesha value yako. Otherwise daa... unatuonyesha ujinga wako...
ReplyDeleteMnaojitia uzungu hamna uzungu wowote tena ukute nyie ndio mmetoka kule uswahilini kabisa kule Tandika kwa Maguruwe au Tandale kwa Mtogole sasa kwenda nje ndio mnajifanya wazungu kkumbe si lolote ni chavy tu!
ReplyDeleteHILI NENO DIDA..WAPE WAPE MAMA
ReplyDelete