Most Popular Posts
- AFUA SULEIMAN ATOKA NA MPYA "UNAJIDODO" BIBI LINAKUCHUKUCHA
- HAYA MANENO UNAWEZA KUNYWEA CHAI AHAAAAAA
- SAMAHANINI KAMA NITAWABOA WALE WASOMI.SIO UGOMVI NI SWALI TU JIBU LINATAKA USHIRIKIANO USICHUKULIE KAMA MGOMO.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA.
- NAWASHUKURU WOTE MADADA NA MARAFIKI ZANGU WOTE MLIOHUDHURIA KWENYE KITCHENPART YA DADA YANGU ALIYE NILEA TANGU MDOGO NAWASHUKURU SANA.
- HAPPY BIRTHDAY SAUDA MWILIMA @SEACLIFF BOFYA TUUU....
- SO HAPPY....
- THE AFTERMATH...
- HONGERA THEA MUNGU AKUJAALIE KWENYE NDOA YAKO.
- LIVE FROM THE STREETS OF HONG KONG
Kumbu Kumbu
BLOG MBALI MBALI
VYOMBO VYA HABARI
DOUBLE D ENTERTAINMENT COMPANY
Kwa sherehe au Shughuli mbalimbali Harusi/Kitchen Party; Wanatoa huduma ya MC na MUZIKI kwa bei nafuu. Wasiliana nasi 0772/0712 - 77 51 50
hongera sana hayo ndiyo maendeleo ya mwanamke kiukweli nakupa big up sana mwanamke mwenye maendeleo, mungu atakuzidishia dada
ReplyDeleteas usually unataka sifa bs. na ukishakosa cha kupost bs unaanza kutafuta sifa. sasa new ride si lako au??? punguza ushamba bi mkubwa yani kila utachonunua unakitangaza hivi inakuwa inakusaidia nini???ulimbukeni unakusumbua. ipo siku utamnunulia mwanao baiskeli au mdoli utamuweka kwenye blog na mdoli wake.ndo mana manuksi yanakuandamaga kwa kupenda kupablish vitu vidogo.
ReplyDeleteushauri wa bure mdogo wangu, kuwa na maisha yako bila kujali watu wanasema nini na usitake watu waseme yaani usishindane na watu wazungu wanasema hivi "silence makes a day" kaa kimya fanya mambo yako siku itaisha tu mara nyingi nimekuwa nikifuatilia blogu yako na kuona kwamba umekuwa chanzo cha kutaka watu waseme kwa maneno yako achana na hayo tunahitaji kujua masuala ya maana zaidi juu ya kazi zako unazofanya za uandishi toa mada za maana za kusaidia jamii wewe kama muandishi unatakiwa uwe kipaumbele kwa kutoa mada za kuendeleza jamii hasa vijana kama wewe mf. sijawahi kuona umesisitiza juu ya masuala ya uchaguzi n.k. mdau wako toka moshi
ReplyDeleteKwa kweli una bore! Sikujui wala hunijui ila nimefahamu kwa nini unasema watu wanakuchukia. Sidhani kama wanakuchukia ila unawaudhi ndio maana wana kuponda. Badala mtu afurahie umepata kitu kipya anachukia kwa jinsi ulivyo ki introduce kwa maneno yasiyofaa! Unakera! Wala sikuchukii mamii ila nakushauri tu ujifunze kuongea vizuri. Jinsi unavyo andika unaonyesha wewe ni mshari sana.
ReplyDeletembona unakuwa naulimbukeni kwanini unapenda maisha yaushindani? yaliyo jaa chuki na manenomaneno jakibu kuwa msataarabu kuna watu wangapi wanavyo na wapo kimya acha uswahili
ReplyDeleteinaonekana hana mkole huyu mtoto ndio tatizo unyago zilo
ReplyDeletekwa kweli dida umezidi ushamba na uswahili pia yaani we ni mswahili haswa kama mungu kakujalia ya nini kuandika si tungekuona tu acha ushamba na uswahili bi shosti
ReplyDeleteHongera sana Bidada, Kiukweli mi unanifurahisha sana na hii style ya Blog yako, Maneno yako ndo yananifanya niingie katika hii blog, hakika wewe umetoka kivyako, Endelea kutupa raha usisikilize maneno ya watu!
ReplyDeleteBlog ni ya Dida asipoweka vitu vyake mnataka akaweke vya Jirani mumseme ni mmbea kama anawaboa msiingie kwenye Blog yake hahhahahhahaha hata mie nitapiga na langu Dida unirushe with my new ride. Hata jide alivyonunua Murano aliitoa kwenye blog kama Dida anawaboa msiingie humu maana hii ni mali yake.
ReplyDeletehata ningekua mimi ningekuja na kusema hayo hayo mana kuna mtu alitoa maoni akasema eti ameazima,haazimi mtu gari babu hela mbele,wachome bibi we wataisoma kimya kimya
ReplyDeleteNadhani Dida anafurahia jasho lake! na angependa tufurahi wote! ni jambo jema kujikomoa na kununua gari, well done mama!
ReplyDeletedida,hongera ila nimestaajabu wewe kujitoa na new ride tunaliona barabarani,unaonekana sana bi mkubwa,nakupa big up kwa maendeleo ila usitangaze bwanaaaaaaa.
ReplyDeleteACHA MACHO YAONE KWANI NI KIZURI.
Achana na mambo ya kisharishari Dida! kama hao wanakusema wapo si wameshakusikia, hata kama una bif na mtu nadhani kwa hizo msg za kila siku ujumbe ameshaupata. Andika vitu vya maana, achana na mambo ya majungu, ooh wasionipenda, achana na mambo ya kiswahili. Hata mimi inanibore. Hunijui sikujui wala sikuchukii, napenda maendeleo yako, lakini sipendi maongezi yako. Congrat's!
ReplyDeleteYani una bore wewe dida, acha sifa.
ReplyDeletekwahiyo?
ReplyDeleteMh Dida na weweeeeee...
ReplyDeletemi unanshangaza mana kama mtu ndo mara ya kwanza kufungua blog yako anakutana na mijineno yako ya nyimbo za taarabu si atakushangaa!!!!
Hy bi dada hongera lakini ss mbona picha zenyewe umezibeep onyesha ni model gani ya toyota. Jitahd upate na make zingine zilizoadvance zaidi ya toyota uzidi kulinda heshima na kutamba hapa mjini.
mtu mzima ovyo tatizo la kushika hela ukubwani mi sikupendi kwa sababu wewe ni mswahili kupita maelezo
ReplyDeleteDida hongera sana, napenda mwanamke anayejituma na kupata mafanikio ya jasho lake nachukia wanaokaa wakitegemea mume au babuzi.
ReplyDeletepili naomba ufahamu kuwa wanaotembelea blog yako siyo wote wale wabaya wako wako wengine wapita njia na wengine wanakupenda kikweli hivyo hiyo heading hapo ni kama umetujumuisha wote tunaokuja hapa na kuwafanya wengine kushusha stress zao hapa wewe unaona idadi ya wabaya wako ni wengi kumbe wengine umewatibua kwa heading tu.
Ushauri lakini sio amri bora ungefungua blog nyingine special kwa wachawi wako najua watakuja tu kukutembelea, hii tuachie sisi tuletee mavitus yanayojiri katika tasnia ya burudani.
hongera kwa kuchukuwa mchuma huo ndugu yangu, ndio maendeleo tunayotaka
ReplyDeleteBUT kuna sehemu umekosea kidogo, kwanini useme maneno ya kuwapasha watu, mara mungu wape uzima MAADUI zangu waone unayonipa.ni kwama nilivyokwambia haya ndio maneno ya kujihami, ambayo hayakutakiwa
UNGEFANYA HIVI, Ungetuma email ya kumshukuru Mungu tu kwa kukupa mchuma huo, na kutia moyo wengine ambao bado hawana ili nao watie bidii kama wewe walipate, short & clear, but naona kama vile unayatafuta mashindano?? si nzuri hii haswa kwa wewe mwenye blog( jamii inakutazama, but watu watakuvalue kutokana na maneno yako) zaidi ya hayo, NAKUPENDA SANA, NA NAOMBA MUNGU AZIDI KUKUBARIKI NA KUKUINUA,
Hivi huyu Dida ametokea maeneo ya Buguruni nini?
ReplyDeleteunatuonesha gari je nyumba unayo mbona hutuoneshi, hata hivyo sio vizuri lakini nadhani bado una akili za kitoto iko siku utakuja kuona kumbe ulikuwa mjinga kiasi gani. Mbona kina LADY JAY DEE wana wagari yenye thamani mara 10 ya la kwako lakini hata siku moja hajinadi kwa vitu kama hivyo.
ReplyDeletemodel plz,
ReplyDeletemaanake naona nusunusu iyo ride yako dada
aliyoyasema beauty touch in dar ni sahihi kabisa, Dida, hayo ni maneno ya kujiahami, kama issue nikuonyesha gari yako, ungeonyesha tu! na maneno mazuri, kuliko kuandika upuuzi huo, maadui waone sijui, inatuhusu nini?? hovyo?
ReplyDeleteHUYU DIDA NDO MAANA HATA NDOA ILIMSHINDA,AMEZIDI USWAHILI!GARI KITU GANI TENA HILO LAKE MBONA LA KIMASKIN KABISA!ONESHA BASI HATA MABAYA YAKO AU MAPUNGUFU YAKO!
ReplyDeleteJAMANI WATU WENGINE VP NYIE HAMMPENDI DIDA MNAFATA NINI KWENYE BLOG YAKE ,HII NDIO STYLE YAKE YA BLOG MWACHEN AFANYE ANAVYOPENDA NA KAMA UJUMBE UMEWAGUSA NDIO POA
ReplyDeleteMSONYOOOOOOOOOO FOR ALL HATERS
yaani nimecheka mpaka basi! yaani amtumie Mungu email ya kumshukuru?! wewe Dida kweli micharuko unawachanganya watu mpaka wanachanganyika hawajui wanakushauri nini!
ReplyDeletehaya kila la kheir katika kutuma email kwa faza God kumbuka kuomba cha maana na mimi usinisahau niombee mafanikio namimi nipate japo kibarua cha kuisaidia familia yangu maana sina kazi mi ni goli kipa ingawa sipendi sina jinsi(sio utani).
we ambae huna kazi sema mi nikupe kazi, unavyoonekana kupata kibarua ningumu, maana una mdomo wako tu! utakuwa mcharuko kama DIDA, kibarua masihara??? njoo uwe unatufulia chupi zetu, kwa siku 950, nauli na kula kwako sawa??
ReplyDeleteatume email kwa Mungu??? wewe beuaty touch hebu rudia ulichoandika. I think ni sawa dida alivyojieleza ni yeye na alishasema jamani yeye mswahili nyie wazungu humu msije, mtuache waswahili wenzie anatuburudisha
ReplyDeleteWe anony wa October 22, 2010 2:47 AM, hata lady jaydee alijinadi kwneye blogu yake aliponunua nissan murano lake la rangi ya orange
ReplyDeletemmmh chichemi mie
ReplyDelete